Ommy Dimpoz unatuangusha sana wanaume wenzio

Naona wanachama wa LG TV COMMUNITY mmekuja kumtetea mtu wenu.
Mtandao wenu unanguvu sana mpaka mikoani mmewafikia.

Ndugu zangu kikubwa tuwalinde watoto wetu maana wanachama wa LG TV wanataka kuwajoin kwenye group lao.
Mungu pekee asimame, wanakuja kwa nguvu kubwa sana ila kwa mshikamano wetu na watoto wetu tutavuka salama; huu upinde umekuwa janga la taifa maana wametajeti watoto wadogo sasa
 
Mtu akisoma hayo maandishi anaweza akahisi una akili timamu kumbe ndio wale wale,
Yaani na wewe unapigia mstari kua Ommy ni shoga ukiambiwa uthibitishe unaweza?
 
Kikubwa ni kupambana sisi wenyewe . tukisema tupige maombi nakusubiri supernatural answer to the prayers watashinda vita hii, maana hata hao wanaojinasibu kuwa ni ma agent wa sir GOD(dini) wameshanasa kwenye upinde.
 
siwezi sema Ommy ni shoga maana sijawahi muona akifanyiwa vitendo hivyo, soma taratibu uelewe usiende pupa

nimesema janga la ushoga limekuwa la taifa so tuzidi kumshirikisha Mungu atusaidie na tuzidi kuongea na watoto wetu...kwani wewe hupati taarifa?

kuhusu Ommy siwezi msemea mtoto wa mwanamke mwenzangu kitu sina uhakika nacho .

ukitulia utanielewa,,,halafu unawezaje kusema sina akili? kwani nimeandikaje kama sina akili....mimi kama mimi siwezi mhukumu mtu ambae sina concrete evidence.
 
Kikubwa ni kupambana sisi wenyewe . tukisema tupige maombi nakusubiri supernatural answer to the prayers watashinda vita hii, maana hata hao wanaojinasibu kuwa ni ma agent wa sir GOD(dini) wameshanasa kwenye upinde.
maombi na kupambana ndio kila kitu, kwa imani yangu bila kumshirikisha Mungu naona kama sitoboi

kusema na vijana wetu ni jambo la muhimu sana, tusione aibu kuzungumza nao
 
nakuunga mkono katika hili .
 
Huyo ni mtetea matendo ya kishoga hivyo huwa anapaniki sana akikuta watu wanaupinga upinde. Mpuuze
 
Mliwa biriani mwenzie wewe [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…