nasry9819
Member
- May 16, 2016
- 92
- 61
anakumbatiwa eti anatulizwa....."relax"
Mpuuzi Sana Analia Na Kutetemeka Yaani Kama......
Kilichompeleka Hapo Nini? Anachefua Sana Huyo Jamaa
Ndiyo Maana Watu Wanasema Punga Sese, Anakumbatiwa Eti Anatulizwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anakumbatiwa eti anatulizwa....."relax"
Mpuuzi Sana Analia Na Kutetemeka Yaani Kama......
Kilichompeleka Hapo Nini? Anachefua Sana Huyo Jamaa
Ndiyo Maana Watu Wanasema Punga Sese, Anakumbatiwa Eti Anatulizwa
Duuuuh!Hivi mwanaume ukikumbatiwa na kubembelezwa ndo punga? Nyie watu mmevurugwaaa vibayaaa.
Muandae na dingi ako nampitiaa[emoji13][emoji13]Kitambo sana!
Me mjini sijaja na fuso weweeAisee, mbona unajua mengi wewe mtoto mrembo...
Hi ni tusi kubwa sana kwa sisi tulioko kijijini. Nikaribishe mjini na mimiMe mjini sijaja na fuso wewee
Mungu pekee asimame, wanakuja kwa nguvu kubwa sana ila kwa mshikamano wetu na watoto wetu tutavuka salama; huu upinde umekuwa janga la taifa maana wametajeti watoto wadogo sasaNaona wanachama wa LG TV COMMUNITY mmekuja kumtetea mtu wenu.
Mtandao wenu unanguvu sana mpaka mikoani mmewafikia.
Ndugu zangu kikubwa tuwalinde watoto wetu maana wanachama wa LG TV wanataka kuwajoin kwenye group lao.
Mtu akisoma hayo maandishi anaweza akahisi una akili timamu kumbe ndio wale wale,Mungu pekee asimame, wanakuja kwa nguvu kubwa sana ila kwa mshikamano wetu na watoto wetu tutavuka salama; huu upinde umekuwa janga la taifa maana wametajeti watoto wadogo sasa
Kikubwa ni kupambana sisi wenyewe . tukisema tupige maombi nakusubiri supernatural answer to the prayers watashinda vita hii, maana hata hao wanaojinasibu kuwa ni ma agent wa sir GOD(dini) wameshanasa kwenye upinde.Mungu pekee asimame, wanakuja kwa nguvu kubwa sana ila kwa mshikamano wetu na watoto wetu tutavuka salama; huu upinde umekuwa janga la taifa maana wametajeti watoto wadogo sasa
siwezi sema Ommy ni shoga maana sijawahi muona akifanyiwa vitendo hivyo, soma taratibu uelewe usiende pupaMtu akisoma hayo maandishi anaweza akahisi una akili timamu kumbe ndio wale wale,
Yaani na wewe unapigia mstari kua Ommy ni shoga ukiambiwa uthibitishe unaweza?
maombi na kupambana ndio kila kitu, kwa imani yangu bila kumshirikisha Mungu naona kama sitoboiKikubwa ni kupambana sisi wenyewe . tukisema tupige maombi nakusubiri supernatural answer to the prayers watashinda vita hii, maana hata hao wanaojinasibu kuwa ni ma agent wa sir GOD(dini) wameshanasa kwenye upinde.
nakuunga mkono katika hili .maombi na kupambana ndio kila kitu, kwa imani yangu bila kumshirikisha Mungu naona kama sitoboi
kusema na vijana wetu ni jambo la muhimu sana, tusione aibu kuzungumza nao
Acha tu na wanawake ndio wanatumika kuusambaza kwa kasiMungu pekee asimame, wanakuja kwa nguvu kubwa sana ila kwa mshikamano wetu na watoto wetu tutavuka salama; huu upinde umekuwa janga la taifa maana wametajeti watoto wadogo sasa
HahahahahahShindwaa pepoooo..shindwaaaa[emoji35] Me mkuu natumia uteleziii tu
Huyo ni mtetea matendo ya kishoga hivyo huwa anapaniki sana akikuta watu wanaupinga upinde. Mpuuzesiwezi sema Ommy ni shoga maana sijawahi muona akifanyiwa vitendo hivyo, soma taratibu uelewe usiende pupa
nimesema janga la ushoga limekuwa la taifa so tuzidi kumshirikisha Mungu atusaidie na tuzidi kuongea na watoto wetu...kwani wewe hupati taarifa?
kuhusu Ommy siwezi msemea mtoto wa mwanamke mwenzangu kitu sina uhakika nacho .
ukitulia utanielewa,,,halafu unawezaje kusema sina akili? kwani nimeandikaje kama sina akili....mimi kama mimi siwezi mhukumu mtu ambae sina concrete evedence.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah bora sijafungua,na kama analiwa basi mwendo ameumaliza [emoji23]
Hamna chochote cha ajabu. Wee jamaa nawe utakuwa shoga kutwa kufuatilia maisha binafsi ya wanaume wenzako.
Mliwa biriani mwenzie wewe [emoji38][emoji38][emoji38]Kuna Watu mnapenda ushenzi na wivu tu, wewe unaweza kumshika chatu namna ile au mnajisemesha tu, kuogopa chatu ndio ushoga?
Ommy anawapa presha sana nyie vijana wa kimaskini mnatamani maisha yake hamuyapati mlichobakiza ni chuki, uzushi na makasiriko, mwenzenu anakula Maisha ambayo hamuwezi kuyala hata mkistaafu,
Go Ommy Gooooooooooooooooo
Sewage[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndo utuambie Ommy anafanya kazi gani ya kumpa maisha yale kama sio kupakuliwa sewage system [emoji12][emoji12][emoji12]
yaani sina hata maneno mazuri ya kuongea ila Mungu aingilie tu katiAcha tu na wanawake ndio wanatumika kuusambaza kwa kasi