Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Hudhani muda huo wa kufuatilia maisha ya wengine ungeweza boresha yako zaidi??

Anyways, kila mtu na aina ya maisha aliyojichagulia, yako imekuwa ni kuchunguza ya wenzako.
Na ndiko napatia riski yangu

Ukinipa details zako hakika nitakufatilia una nin ,unafanya nn ,unapenda nn ,unatumiaje pesa , na mamb mengine

Ila kwa saababu wee siyo celebrity siwezi kukufatilia nitapoteza muda
 
TRA utakuwa unawaonea, labda umuilize Waziri Dorothy Gwajima
 
Kwa Kukuongezea tu wasanii hawa wakubwa wanapata fedha sana ,kwenye Streaming,views,Downloads ,ukiacha hapo kuna matangazo ,kuna ubalozi.

KUna msanii anakunja kila mwezi milioni 100 kwa ajili ya ubalozi(Matangazo).

Uko sahihi kabisa, matumizi mazuri ya social media na hizi technolojia za kisasa zinaweza kukufanya uwe tajiri sana na kuingiza hela ukiwa umekaa tu.
 
Sasa kama unamuonea wivu Ommy na wewe si ukaweke rehani hicho alichoweka?
 
Wivu wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…