Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

🚮
 
Kula bata na kupiga picha maeneo flani ni vitu viwili tofauti. Kuna mwanangu mmoja, sometimes anazumba sana na Omary Nyembo. Yeye ana uraia wa EU lakini saa zote yuko Bongo. Ukiwa na passport ya UE unaweza kwenda popote Duniani bila shida. Jamaa ni mtu wa kulipuka pamba sana na ana swagga za kuua, halafu ni photogenic kwelikweli. Mchizi sio ana mkwanja sema huko Dunia ya Instagram na Tiktok wabongo wanamkoma. Yaani yale mapicha kama ya kwenye magazines, New York, Sydney sijui miji makubwa yote Europe. Sasa kuna watu wanafikiria jamaa ni boss kumbe ni style tu ya maisha.
 
Uzi wa kumsengenya mtu huu. Inawezekana kweli sio riziki lakini hatuoni hata sisi tumechagua tu dhambi ya usengenyaji? Tuache kuufurahia umaskini na kuwachukia waliofanikiwa kwasababu mwisho wake ni upuuzi mtupu. Mleta uzi na wote wanaokusapoti ni ujinga mnafanya.
 
Watanzania ni wambea wambea by nature mkuu!
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
[emoji706][emoji706]
 
Nasikia anaikalia
Unasikilizia wapi?

Sio kila utakalo lisikia hua ni la kweli,
Watu wengi wanaenda na beats tu,zamani ilikua kila aliyefanikiwa anaitwa Freemason,au ataambiwa anatumia uchawi,ila toka imekuja hiyo issue sijui kuikalia, ndio maana unaona siku hizi kila aliyefanikiwa anapewa hizo tuhuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…