Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Kuna jamaa alipoona dulvan kanunua range akasema "we endelea kulinda marinda yako tuone yatakufikisha wapi 😂😂😂😂"
 
Wanapenda Kiki tu, mwingine huyu hapa huyu

Nasikia anaikalia
Ndio watanzania mlivyo wengi, mmejawa na wivu, vijiba vya roho na ushirikina na KUCHAFUANA HASA MNAPOONA MTU KAFANIKIWA. Yaani mbongo hata ndani ya ukoo wake akiona kuna ndugu kafanikiwa kielimu au kimaisha atachukia tu na kutengeneza maneno ya kumchafua.

Mnaonaje na nyie mkipambana mfanikiwe kuliko kumchafua mtu ambapo hampati faida yoyote ile.

Na huwa ninapokutana na tabia hizi za hovyo ndipo ninapoamini kuwa muingiliano wa makabila una faida na hasara zake, na hasara mojawapo ni kukutana na makabila yenye wivu wa kichawi badala ya wivu wa maendeleo.
Unakutana na kabila kazi kuchafua watu na kuchukia mwenzako akifanikiwa, kabila lenye tabia za FITINA tu. NA HATA KATIKA SIASA ZETU HILI LIPO AMBAPO KUNA MAKABILA KAZI NI FITINA, CHUKI NA ROHO MBAYA
 
Umeandika kwa kirefu kweli.Haya Sawa nimekuelewa mkuu☺️
 
Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.

Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.

Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.

View attachment 2909009

TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
TRA washughulike na maskini Ommy badala ya mapapa wanaotafuna kodi zetu?

Huu wendawazimu kabisa. Mikopo na kodi zetu inaliwa, nchi haina umeme wala sukari bado TRA hawaoni wanakula hela zetu kwa biashara zao na hawalipi kodi yoyote.
 
Ndio faida YA kuwa maarufu..Na si anapenda showoff..watu wanafuatilia maisha yake .Ila hawaoni cha shoo yake wale nyimbo mpya au kuwa Na demu

Japo wengi wanasema anafanya kazi GSM...sijui kasomea nini??

Ila habari upande wake hazimsemi vizuri
Good very good

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom