Ndio faida YA kuwa maarufu..Na si anapenda showoff..watu wanafuatilia maisha yake .Ila hawaoni cha shoo yake wale nyimbo mpya au kuwa Na demuUzi wa kumsengenya mtu huu. Inawezekana kweli sio riziki lakini hatuoni hata sisi tumechagua tu dhambi ya usengenyaji? Tuache kuufurahia umaskini na kuwachukia waliofanikiwa kwasababu mwisho wake ni upuuzi mtupu. Mleta uzi na wote wanaokusapoti ni ujinga mnafanya.
Japo wengi wanasema anafanya kazi GSM...sijui kasomea nini??
Ila habari upande wake hazimsemi vizuri