Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Jamaa nimeliona VIP lipo na kina draymond na kina curry alafu lilipewa invitation na NBA kuhudhuria NBA all stars, limetulia linapiga story na ma baller wa ukweli aloo , sijui alipewa invitation kama nani ? Inashangaza kwakweli sehemu alizokuwepo hakuna maskini hata mmoja wote karibia ni mamilionea yan hata wamarekani kajamba nani hawakanyagi ile red carpet kule unakutana na kina Jay Z na kina King James…hawa watu wana reputation kubwa kwenye industry nadhan hata chibu atakuwa anataman angekuwepo kule, jamaa huwa anaendaga hata kwenye nba finals na anakaaga front row seats…
 
Ila watanzainia tunamajungu sana na sasa watu hawajui ila wameshampakazia kila aina ya kashfa..

Kifupi huyo jamaa anakampuni ya kutengeneza matangazo na anapewa tenda na makampuni makubwa kama gsm unavyoona matangazo yote ya gsm na picha na video za billboards zilizosambaa mjini hapa ni kampuni ya ommy ndio inasimamia na ameajiri vijana wenye degree zao kwa hiyo anatengeneza pesaaa ndefu sana kupitia kampuni yake.
Mi ndo najua hivii
Hayo ya uchoko sijui wanayatoa wapi
 
Wabongo bana badala ya kumfuatilia Samia wanayemlipa na anakula Kodi zao wanamfuatilia mtu binafsi wala hajawahi kuwaomba hata chumvi
Huyu lzm tumfatilie mnk dili zake. Haziko wasi wasi Ni vzr ijulikane

Samia na genge lake mban tuna mparua. Tu
 
Jamaa nimeliona VIP lipo na kina draymond na kina curry alafu lilipewa invitation na NBA kuhudhuria NBA all stars, limetulia linapiga story na ma baller wa ukweli aloo , sijui alipewa invitation kama nani ? Inashangaza kwakweli sehemu alizokuwepo hakuna maskini hata mmoja wote karibia ni mamilionea yan hata wamarekani kajamba nani hawakanyagi ile red carpet kule unakutana na kina Jay Z na kina King James…hawa watu wana reputation kubwa kwenye industry nadhan hata chibu atakuwa anataman angekuwepo kule, jamaa huwa anaendaga hata kwenye nba finals na anakaaga front row seats…
Sawa pengine Ana agenda zake na connect kubwa ukiacha kuweka marinda rehani
 
majungu at work. sisi kima weusi tunapenda sana na kufarijika tukiona watu wanafana na hali zetu za uchoka mbaya pro max.
mwacheni aenjoy risk is rich.
kama ana makandokando siku yakibumbuluka tutakuja hapa kumpa makavu
 
Iko hivi leo ngoja niwagusie kidgo kuhusu huyu jamaa, kifupi Ommy anatumika km wakala wa mason kwa hapa bongo hizi ni mbinu za kumuweka karibu na raisi wa wasafi ili ukifika wakati wa majamaa kufanya yao kw raisi inakuwa rahisi(si umeona hapa neno raisi na rahisi yanavyoendana) so Ommy kuwa kwenye hzo level ni kawaida kaeni mkao wa kula nakuketeeni makala kamili kuhusu huyu jamaa na hawa mason kuhusu huu mpango wao achaneni na mambo ya ubwabwa sijui kampuni ya mabango. Fiksi
 
Acha kufanya watanzania ni mazwazwa kuwa eti wanampakazia

Spending anazofanya ni mbingu na ardhi kama ni hiyo hoja yako ya kampuni kivuli ya kwake
Spending zake pmn kampuni yake hata kwenda Kenya Ni mtiani kwakweli
 
Back
Top Bottom