Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Leo nipo free. Nimeona wadau wamekutolea uvivu. Kaza makalio. Unamwoneaje wivu mwanaume?olewa na wewe basi. Yaani huoni aibu kuja kujadili maisha ya watu hapa JF? Unataka wote wawe mafukara kama wewe na roho za wivu na chuki? Ndo maana mnaolewa sana siku hizi. Hadi wanawake wamekuchana umejawa aibu ulidhani umeandika jambo la maana. Sisi wanaume tumeshangaa sana. Na wanawake nao wamekushangaa. Unataka huyo jamaa akuoe? 😳[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji2380] shoga wa jf kaibuka ulikuwa wapi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app