Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi
Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
Kikubwa hawa waarabu warudishe maeneo waliopora ya watu. Hata hawa wa Africa Kaskazini wanapaswa kurudi kwao.
Sijasema hivyo,,mimi naongelea history ,wafilist ndo wakazi wa mwanzo kabisa wa gaza,na miji around gaza,kiasili wafilist walitokea ulaya katika kisiwa cha crete,hawa watu walikuwa ni seamen,yaani wakiishi kwa shughuli ya kuvua,Unaamini Israelites doesn't belong there?
Sijui nani huwa anawapotosha namna hiyo yaani hata hujui kuwa sulemani alikuwa ni muislael;ngoja nikupe ilmu,sulemani ni mfalme aliyekuwa wa kabila la Yuda na ni mtoto wa daudi,kabila la Yuda ni moja ya kabila 12 za Israel,mkuu uwe unapitia historia mwenyewe usikomee kumsikiliza shekhe pekee utaendelea kula matango pori mpaka mwisho.Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
Hebu urudi usome history vizuri,,hapa tunajadili history,si imani,,Mkuu punguza jazba,Israel ilikuwepo hapo kabla ya 1948,sema waliondoka muda mfupi
Mkuu punguza jazba,hebu tusianzie mbali tuanze tu tr.1/1/1,Yesu alizaliwa bethrehemu,alisali yerusalemu hapo ni mwaka 30,mpaka hapo unadhani wapalestina walitangulia? Na kwa nyingeza tu hata msikiti wa Al aksa umejengwa juu ya mahali palipokuwa na hekalu la mfalme sulemani ambaye ni muislael.wapalestina warudi kwao.
Mkuu imani ni vitu vya kusadikika lakini nachokupa ni maandishi ya zamani kabisa yenye kuelezea kwa kina wakazi halali wa maeneo mbali mbali.Hebu urudi usome history vizuri,,hapa tunajadili history,si imani,,
Kuna aina ya kinywaji unatumia unapaswa kupunguza au kuacha matumizi yakeKwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
Kwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
Hujanisoma vizuri,wewe unaongelea habari ya AD, mimi naongelea habari ya historia ambayo hata moses hajazaliwa,piga rivasi mpaka kwa adamu na eva,kisha anza kuja taratibu kwa abraham,akifika caanan,alipokelewa na watu gani.Mkuu imani ni vitu vya kusadikika lakini nachokupa ni maandishi ya zamani kabisa yenye kuelezea kwa kina wakazi halali wa maeneo mbali mbali.
Waisrael wa asili,wametokea hapo hapo caananMkuu kwa maoni yako ni kwamba Waisraeli wamevamia nchi ya Wapalestina,kwakua Waisraeli ni wayahudi vipi kwa maoni yako unadhani nchi yao ya asili kabisa ni wapi? Maana mna waita wavamizi.
nakuunga mkono mkuu watu wanateseka kule Palestina, baada ya muda wataporwa eneo loteHuu ni uonevu ambao dunia umeufumbia macho na kuuhalalisha kabisa. Aliyesema binadamu wote ni sawa alikosea sana.
History imenukuu mfalme Shalmaneser wa Asyria,,,Suleiman ni finction characters based on Shalmaneser historyKwani mfalme Suleiman alikuwa myahudi?. Afadhali wapalestina wana undugu na mfalme Suleiman kwa sababu wote ni waislamu.Na ulivyosema ni ushahidi kuwa ardhi yote hiyo ni ya wapalestina.Ni ardhi ya Mtume wao na babu yao.
Ibrahimu alipokelewa na wakaanani ambao ndio waliokuwa wenyeji.Hujanisoma vizuri,wewe unaongelea habari ya AD, mimi naongelea habari ya historia ambayo hata moses hajazaliwa,piga rivasi mpaka kwa adamu na eva,kisha anza kuja taratibu kwa abraham,akifika caanan,alipokelewa na watu gani.
Mkuu hakuna kabila la wacaanan,,hilo lilikuwa jimbo au province ya utawala wa misri,,ndani ya caanan ndimo palikuwa na jamii mbalimbali,Ibrahimu alipokelewa na wakaanani ambao ndio waliokuwa wenyeji.
Ukianza kutaka kuungwa mkono kwa kutumia habari za Mathayo huenda usipate mtu.Huyu jamaa hatabiriki katika hadithi zake.Sijui nani huwa anawapotosha namna hiyo yaani hata hujui kuwa sulemani alikuwa ni muislael;ngoja nikupe ilmu,sulemani ni mfalme aliyekuwa wa kabila la Yuda na ni mtoto wa daudi,kabila la Yuda ni moja ya kabila 12 za Israel,mkuu uwe unapitia historia mwenyewe usikomee kumsikiliza shekhe pekee utaendelea kula matango pori mpaka mwisho.
Nyongeza:
2 Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
Mathayo 1:2
3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
Mathayo 1:3
4 Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
Mathayo 1:4
5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
Mathayo 1:5
6 Yese akamzaa mfalme Daudi.
Mathayo 1:6
7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
Mathayo 1:7
8 Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
Mathayo 1:8
9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
Mathayo 1:9
10 Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
Mathayo 1:10
11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
Mathayo 1:11
12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
Mathayo 1:12
13 Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
Mathayo 1:13
14 Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
Mathayo 1:14
15 Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
Mathayo 1:15
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Mathayo 1:16
17 Basi vizazi vyote tangu Ibrahimu hata Daudi ni vizazi kumi na vinne; na tangu Daudi hata ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hata Kristo ni vizazi kumi na vinne.
Mathayo 1:17