Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #41
Kila mtu na maoni yake.Kwamba walichofanya hao wazalendo ni kupoteza muda? Mbona umetumia muda wako kuandika habari za waliopoteza muda?
Hizi arguments zinawaondolea heshima.She’s an empty suit!
Ni Rais kutokana na circumstances tu.
Hana kabisa uwezo wa kuwa Rais na kwenye mchujo wa urais hata 10 bora asingepita!!
Sawasawa, ila una muda wa kuwaongelea hapa jukwaani.Kila mtu na maoni yake.
Mimi sina muda wa kupoteza kwenda kukimbizana na Samia….an empty suit.
Hayo ni maoni yangu.
Tumepigwa na Kitu kizitoShe’s an empty suit!
Ni Rais kutokana na circumstances tu.
Hana kabisa uwezo wa kuwa Rais na kwenye mchujo wa urais hata 10 bora asingepita!!
Yes.Sawasawa, ila una muda wa kuwaongelea hapa jukwaani.
Mjinga unadhani watu wanawekeza kwenye kununua viatu.Diaspora njaa itawaua, hata prsa za kununua viatu hawana aisee.
Hivi sijui kaokota Dampo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2199148
Ulitaka avae Nike Air VaporMax Plus kwenye maandamano?Diaspora njaa itawaua, hata prsa za kununua viatu hawana aisee.
Hivi sijui kaokota Dampo 🤣🤣🤣
View attachment 2199148
Wamekeza kwenye Nini?Mjinga unadhani watu wanawekeza kwenye kununua viatu.
Wewe Ni yupi hapo?Ulitaka avae Nike Air VaporMax Plus kwenye maandamano?
Hivi wale wafanyakazi wa pale HOTELINI wanaionaje nchi ya TANZANIA?hao ndio wabeba maboksi wanao ishi marekani.....wamechoka!!
yaani afadhali hata machinga wa K.koo
Rudini nyumbani.....acheni kupoteza muda huko na kushindia mikate na ukoko wa ubwabwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Diaspora njaa itawaua, hata prsa za kununua viatu hawana aisee.
Hivi sijui kaokota Dampo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2199148
Najiuliza Mwigulu kilichompeleka huko ni kipi?
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais.
Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau.
Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu!
Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona.
Sasa sijui Samia anaogopa nini?
Anawaogopa Watanzania wenzie waliopo diaspora?
Angekuwa ni mtu anayejiamini angeongea nao awasikilize. Hakuna ambacho angepoteza. Sana sana angejizolea pointi za kisiasa.
Hakuna kibaya walichokuwa wanakidai.
Shame on her and her handlers.
Sina Chuki ila nawaambia UKWELI.una chuki na Diaspora??? wakifa njaa inakuhusu nini?
Sina Chuki ila nawaambia UKWELI.
Wana hali mbayaaaaaa