Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.

Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).

Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Lile la Royal Toure nn mkuu. Kila nikikutana nalo kwenye picha au clip najipiga kibao Kwa hasira
 
Absolutely, shame on her..

Anawakimbia na kuwaogopa watu wake anaowaongoza kuzungumza nao simply tu wanadai vitu vya kawaida kabisa!!?? SHAME ON HER..!!

Yaani, anataka kuzungumza na akina Salimu Kikeke na Zuhura Yunus wa BBC kwa maswali na majibu yaliyokwisha kuandaliwa. SHAME ON HER..!!
 
Usichanganye.
Ulimpigia kura lini huyu!
Mkuu Kalamu1 , formula ya ushindi wa uchaguzi Mkuu wetu ni simple majority, ambapo the winner takes it all. Mshindi anakuwa ameshinda wote ameshinda zote, uwe ulimchagua, hukumchagua, au hukupiga kura kabisa, utakatwa kodi yako utake usitake, na Kodi hiyo, itatumika kumlipa mshahara rais wako.
P
 

Mkuu kwanini unapenda kusema uongo? Nani alimpigia kura Rais Samia?
 
Easy peasy!

Sasa nasikia amekula kona kupitia mlango wa uani 🤣🤣.

Anaogopa nini?

So insecure.
Kitendo cha kumpitisha Rais milango inayoingiza stationery na mizigo ya ubalozi ni dhalili kubwa sana! Hivi Rias angeparuriwa na Racoon kutokana kwenye 'garbage bin' tungeeleza nini ulimwengu!

Rais angeweza kupita tu mbele yao bila kusema neno! ingemjengea heshima sana.
Kupita uani dah!

JokaKuu
 
Kwanini unataka kuaminisha watu kwamba Diaspora ni wapinzani?
 
Kupitia maoni kama haya atajifunza.

Walimkurupusha. Pita huku pita huku. CCM wanaendeleza chuki zao hadi ughaibuni.
 
Tuende nyuma na kuludi mbele
Angekua JPM wangeweza kufanya ufyoko km huo? Au kwakua mama ameamua kua mstaalabu ndio mnatafta namna ya kumchafua na kumfedheesha ugenini?
 
Hata kuongea na kuwasikiliza Watanzania wenye maoni na mitazamo tofauti hakuna kilicho kibaya.

Pata picha kama hapo ingekuwa ni Tanzania….kuna watu wangeumizwa na vyombo vya dola!

Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa.


Hata kupoteza maisha.

Rejea Aquilina issue and loss of her life.

Inasikitisha sana
 
Safi sana Diaspora kwa kutuwakilisha vizuri huko ughaibuni. Naamini watawala wetu wamejifunza kitu. Maana huku kwetu wamejigeuza kuwa miungu watu.

Ukijaribu kuwakosoa kwa namna yoyote ile, basi lazima ushughulikiwe ipasavyo.



Kwani ni Watawala wetu au Viongozi wetu ?
 
Mama anaupiga mwingi ndani ya ushungi.

Ametokomea kusikojulikana kwa spidi ya radi. Amekula kona (si ajabu alienda kujibanza kwa lile lizungu lake).

Hili libibi hata sio president material. Tunajilazimisha tu.
Umekosa heshima na utu kwa rais alafu unataka wema kutoka kwa rais huyohuyo.
crap citizens.
 
Kupitia maoni kama haya atajifunza.

Walimkurupusha. Pita huku pita huku. CCM wanaendeleza chuki zao hadi ughaibuni.
Ninakuhakikishia alikuwa na nafasi mbili muhimu sana

1. Apite kimya kama akina Mwigulu aendelee na shughuli zake
2. Asimame awasalimie aendelee na shughuli zake

Hayo yangemjengea heshima sana kuliko kupitia uani mlango wa maliwato
Hata wale wanaoleta chakula ''Uber eats au Skip the dish'' hawapitii uani! seuse mkuu

Hakukuwepo na tishio lolote na kwa taarifa tu, FBI na Police wa DC walikuwepo wanaangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…