Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Wipe data/factory reset nimefikia hapo nimeshindwa kuendelea simu ni tecno W3 msaada tafadhali.
 
Mtaalam umesahau sikuhiz kuna security mpya kweny version kuanzia 5 na kuendelea? Ningeona vyema kama ungewaelekeza namna ya kubypass previously google account that was used to sign in
Kwa zilizo sajiliwa google baada ya kureboot itadai wifi ili kuverify kama ni ww, sasa ukifika kwenye email una add account
 
dah kuna siku nilikua naenda meet na dem ikabid nichange pattern dah baada ya show nimerudi hostel pattern nimeisahau aisee nilidata

nilitulia tulii kama lisaa mpka nikaifungua bila pattern
mpaka leo sikumbuki nilifanyaje

na nilikoma kueka ma pattern magum magum
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kiukweli ukisoma comment za watu ktk hili bandiko,unaelewa bado tupo nyuma sana.! Nnachofahamu mimi,kinachofanya simu za iPhone na Samsung ziuzwe bei ghari ni huo ulinzi wa simu..!

Hivi inawezekaje simu ya milioni 3 uifungue wewe kwa urahisi hivyo wakati hata FBI walishinda kufugua simu ya mtuhumiwa wa ugaidi mpaka wakaipeleka apple mahakamani!??

Ntakubaliana na ww kwa simu km hii yangu itel s31 ambazo hazina ulinzi imara lkn ina features zote km hizo simu za gharama kubwa. Tofauti yangu na mwenye simu ya milioni 1 na nusu au zaidi ni ulinzi wa simu...! Hata ku-hack akaunti ya facebook,si kweli kwamba unaweza ku-hack akaunti yoyote. Me nakuhakikishia,akaunti yangu huwezi hata kwa visu!

Ku-hack akaunti ya facebook au e-mail inatokana na udhaifu wa password,watu wengi hawajui kuweka password. Watu wengi wanaweka majina na namba za simu au mwaka wa kuzaliwa. Hizo mtu anaingia kwa urahisi mno. Password unatakiwa kuchanganya number na maneno na usiweke herufi za kufanana. Unachanganya herufi ndogo na kubwa huku ukipachika number katikati...! Pass ikiwa imara,hackers mpaka wafanye kazi kwelikweli...!!!
 
Siku hizi google wamekuja na FRP (Factory Reset Protection) kwahiyo hiyo mbinu yako ni simply invalid!
 
Sasa ukitaka izime si unatoa battery mkuu. Au mimi ndio sielewi nini hasa shida
Sasa ukitoa battery si inakuwa imezimika mazima?? kwa maelezo yake anasema inatakiwa izime na kujiwasha yenyewe ili uweze kuendelea na process
 
Kiukweli ukisoma comment za watu ktk hili bandiko,unaelewa bado tupo nyuma sana.! Nnachofahamu mimi,kinachofanya simu za iPhone na Samsung ziuzwe bei ghari ni huo ulinzi wa simu..!

Hivi inawezekaje simu ya milioni 3 uifungue wewe kwa urahisi hivyo wakati hata FBI walishinda kufugua simu ya mtuhumiwa wa ugaidi mpaka wakaipeleka apple mahakamani!??

Ntakubaliana na ww kwa simu km hii yangu itel s31 ambazo hazina ulinzi imara lkn ina features zote km hizo simu za gharama kubwa. Tofauti yangu na mwenye simu ya milioni 1 na nusu au zaidi ni ulinzi wa simu...! Hata ku-hack akaunti ya facebook,si kweli kwamba unaweza ku-hack akaunti yoyote. Me nakuhakikishia,akaunti yangu huwezi hata kwa visu!

Ku-hack akaunti ya facebook au e-mail inatokana na udhaifu wa password,watu wengi hawajui kuweka password. Watu wengi wanaweka majina na namba za simu au mwaka wa kuzaliwa. Hizo mtu anaingia kwa urahisi mno. Password unatakiwa kuchanganya number na maneno na usiweke herufi za kufanana. Unachanganya herufi ndogo na kubwa huku ukipachika number katikati...! Pass ikiwa imara,hackers mpaka wafanye kazi kwelikweli...!!!
Fb yako hta ungechanganya na risasi humo kwa password napita nayo kwa sekunde kma huamin pm
 
Mkuu kwa mfano kama ukitaka kutoa flight mod kwa njia kama hiyo inaweza ikatoka. Maana nisha hangaika sana na simu yangu ni Nokia lumia 630 nimejaribu hata kupiga window lakini airplan haitoki sijajua sababu ni nini,
 
Back
Top Bottom