mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mbona ni Logic ndogo tu unashindwa kuelewa.kutokuwa na bunduki mbele ya Vladimir putin kwangu mimi nimeona udhaifu mkubwaa sana mkuu sijuhi kwako
mkuu usiseme watanzania,sema wanasisiemu au walamba asali,hao wanamuona kila anayepingana na viongoziBaadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akiongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenu
Huyu anachukiwa kwa sababu anawavua nguo waafrika wenzake wenye taaluma kama yake.Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu
Huwezi kuwa bongo umchukie Rais wa Bukinafaso kama sio uchawe na wivu. Nchi ilijaa ufisadi na mauaji ya wanaoipinga Serikali mpaka alipofanya mapinduzi, je hilo kwako sio muhimu? Mbona hapa Tz mmekuwa mkiomba yatokee mapinduzi kwasababu ya yanayoendelea ya utekaji, mauaji na kukandamiza demokrasia? Je hicho mnachokuombea hapa bongo sindio alichokifanya Bukinafaso?
Unazungumzia watu tofauti katika mazingira tofauti na kuja na hitimisho.Museveni ni Jenerali, Kagame ni mwanajeshi na wote hao wanamzidi cheo Kapteni Traore ila hawazuruli na bastora na vimodo vya kijeshi.
Huyo jamaa ni mshamba bado, yuko ikulu ila anaishi kama yuko kambini.
Mkuu nimekuruhusu, watukane hao watu na kwa niaba yangu. Yani watu hawaoni kasi ya jamaa kuipa mandeleo nchi yake kwasababu tu kawatimua mabwana zao wazungu ambao hawana muda nao.Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisa
Boya hawezi kuipindua nchi na kuitawala. Boya ni equivalent na zoba, kazi yake ni kutawaliwa na kuishia kulalamika au kuwa chawa wa watawala.Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Wewe wasema!Isipokuwa anayezurura na kutembeza bakuli la misaada kwa mataifa mengine kwa kauli mbiu ya chanjo,mabadiliko ya tabia nchi,nishati safi n.k.bila kujua na hata kujali kuwa kuna ajenda gani ya siri nyuma yake....Huyo ndiye kiongozi kwako ππ€·
sisi huku jamii forum mashoga si ndugu zetuWatanzania wanaongoza kwa ujinga. Badala ya kujadili vitu vya msingi unajadili mambo ya kitoto. Hasara kubwa sana hv uliishia darasa la ngapi vile!?
Mbwege tu huyu jamaa tena ushamba wa kizamani kama wa JPMHuyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
Mithili ya MagufuliUkishaona kiongozi mkuu wa nchi anatumia sana neno "Africa, Mabeberu & mabepari" na pia propaganda nyingi ujue hamna kiongozi humo... mfano mzur Tanzania tuliwahi kua na kiongozi wa hivo
Hao kagame na museveni wako madarakani miaka mingi tu, wamevaa sana uniform za jeshi ni hivi uzeeni tu ndio wamechoka na kukinai ila bado wanazivaa sana tu hata leo. Traore nae ikifika muda wa kuacha ataacha.Museveni ni Jenerali, Kagame ni mwanajeshi na wote hao wanamzidi cheo Kapteni Traore ila hawazuruli na bastora na vimodo vya kijeshi.
Huyo jamaa ni mshamba bado, yuko ikulu ila anaishi kama yuko kambini.
Akili kidogo sana. Boresha uelewa wakosisi huku jamii forum mashoga si ndugu zetu
Na hivi ana kichwa bapa! Ndo kabisaaa. πHuyu jamaa kimuonekano ni kama boya Fulani, ila ngoja tuone mwisho wake utakuwaje
bora niwe sina akili kuliko kuwa shogaππAkili kidogo sana. Boresha uelewa wako
Jamaa mbona yuko poa tu mkuu ππNa hivi ana kichwa bapa! Ndo kabisaaa. π
Yuko vizuri. Shida yake ana mbwembwe zisizo na maana. Show off ya kutembea na bastola ikiwa wazi namna vile ni ushamba.Jamaa mbona yuko poa tu mkuu ππ
Una mahaba na ilo neno ndio kwenu mlivyobora niwe sina akili kuliko kuwa shogaππ