mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mbona ni Logic ndogo tu unashindwa kuelewa.kutokuwa na bunduki mbele ya Vladimir putin kwangu mimi nimeona udhaifu mkubwaa sana mkuu sijuhi kwako
Hapo kwa Putin hata asipokuwa na bunduki atakuwa na amani kutokana na level ya kiusalama waliyonayo Russia tofauti na nchi za kiafrika tuko nyuma sana kwenye mambo ya kiusalama na teknolojia yaani hata mtu akichinjwa au akichomwa kisu hatujui ni nani aliyefanya tukio tunakuwa tunabahatisha.
Kitu kingine tena nchi za kiafrika ni rahisi sana kurubuniwa wakiahidiwa pesa za msaada wanakusaliti na kusahau mambo ya kuungana/umoja so ni lazima ujipange mwenyewe.