Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika

kutokuwa na bunduki mbele ya Vladimir putin kwangu mimi nimeona udhaifu mkubwaa sana mkuu sijuhi kwako
Mbona ni Logic ndogo tu unashindwa kuelewa.
Hapo kwa Putin hata asipokuwa na bunduki atakuwa na amani kutokana na level ya kiusalama waliyonayo Russia tofauti na nchi za kiafrika tuko nyuma sana kwenye mambo ya kiusalama na teknolojia yaani hata mtu akichinjwa au akichomwa kisu hatujui ni nani aliyefanya tukio tunakuwa tunabahatisha.
Kitu kingine tena nchi za kiafrika ni rahisi sana kurubuniwa wakiahidiwa pesa za msaada wanakusaliti na kusahau mambo ya kuungana/umoja so ni lazima ujipange mwenyewe.
 
Kwa hiyo mwisho wa siku hakuja Bongo huyo mwamba, au ?

Wabongo walishinda wanamsubiri mjeshi mwenye mi agenda kibao ya security and survival pamoja na kuwatimua wafaransa, Wabongo, wakamsubiri aje kuongelea umeme, nikajiuliza amesema anakuja ???
 
Baadhi ya watanzania tumejawa na ujinga, yaani boya afanye mapinduzi na mpaka leo awe madarakani akiongoza Nchi? Acheni ujinga maboya ni sisi tunaoongozwa na kutawaliwa kipuuzi puuzi. Basi atokee boya kama huyo afanye kitu hapa Tanzania. Kaani na Nchi yenu mtawaliwe mpaka vyumbani kwenu
mkuu usiseme watanzania,sema wanasisiemu au walamba asali,hao wanamuona kila anayepingana na viongozi
wapuuzi,hasa kutokea idara zenye mabakamabaka wanaona watawaamusha wenzao waliolala.
kwa hiyo lazima wapaze sauti kuonyesha traole kakosea sana.
 
Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu

Huwezi kuwa bongo umchukie Rais wa Bukinafaso kama sio uchawe na wivu. Nchi ilijaa ufisadi na mauaji ya wanaoipinga Serikali mpaka alipofanya mapinduzi, je hilo kwako sio muhimu? Mbona hapa Tz mmekuwa mkiomba yatokee mapinduzi kwasababu ya yanayoendelea ya utekaji, mauaji na kukandamiza demokrasia? Je hicho mnachokuombea hapa bongo sindio alichokifanya Bukinafaso?
Huyu anachukiwa kwa sababu anawavua nguo waafrika wenzake wenye taaluma kama yake.
 
Museveni ni Jenerali, Kagame ni mwanajeshi na wote hao wanamzidi cheo Kapteni Traore ila hawazuruli na bastora na vimodo vya kijeshi.

Huyo jamaa ni mshamba bado, yuko ikulu ila anaishi kama yuko kambini.
Unazungumzia watu tofauti katika mazingira tofauti na kuja na hitimisho.
 
Watanzania wamejawa na chuki za masikini kumchukia tajiri bila sababu yoyote. Uchawi, wivu na husda ndio kitu kilichobaki kwa watanzania. Yaani kuna mchimba chumvi yuko mchamba wima na Tekno yake anakwambia kaptein Traore ni boya. Pumbavu kabisa
Mkuu nimekuruhusu, watukane hao watu na kwa niaba yangu. Yani watu hawaoni kasi ya jamaa kuipa mandeleo nchi yake kwasababu tu kawatimua mabwana zao wazungu ambao hawana muda nao.

Africa ni bara lililolaaniwa kama sio kutelekezwa
 
Kwa hiyo kufanya mapinduzi ni ujanja? Unamfaham Samuel Doe? Jean Bokasa? Charles Taylor? Hao wote ni mifano ya wapumbavu na walifanya mapinduzi kwa sababu ya upumbavu wao wakaishia kufa, jela na kukimbilia uhamishoni. Binadamu siyo ng'ombe
Boya hawezi kuipindua nchi na kuitawala. Boya ni equivalent na zoba, kazi yake ni kutawaliwa na kuishia kulalamika au kuwa chawa wa watawala.
 
Isipokuwa anayezurura na kutembeza bakuli la misaada kwa mataifa mengine kwa kauli mbiu ya chanjo,mabadiliko ya tabia nchi,nishati safi n.k.bila kujua na hata kujali kuwa kuna ajenda gani ya siri nyuma yake....Huyo ndiye kiongozi kwako 🙆🤷
Wewe wasema!
 
Onesha hiyo bunduki ya kapteni Ibrahimu Traore anayoweka kiunoni akiwa hapa Afrika
 
Museveni ni Jenerali, Kagame ni mwanajeshi na wote hao wanamzidi cheo Kapteni Traore ila hawazuruli na bastora na vimodo vya kijeshi.

Huyo jamaa ni mshamba bado, yuko ikulu ila anaishi kama yuko kambini.
Hao kagame na museveni wako madarakani miaka mingi tu, wamevaa sana uniform za jeshi ni hivi uzeeni tu ndio wamechoka na kukinai ila bado wanazivaa sana tu hata leo. Traore nae ikifika muda wa kuacha ataacha.
museveni-swearing-.jpeg
images(10).jpg
 
Back
Top Bottom