Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

You must have tied knots by now...Its too fragile kujiwekesha kwa mtu ambaye hamna mkataba wa aina yeyote for the sake ya mapenzi tu.
I don't see it that way.

Tying knots ni formalities tu, na mengine ni nyongeza. Real commitment (sio tu kwenye romantic relationships), is about being devoted, supportive, and prioritizing each other's needs & well being. Ikitokea tumechoshana, basi...kila mtu anaenda na mambo yake.
 
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).

Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.

Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.

Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.

Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.

Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.

Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.

Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...

Unique Flower 🌺🌻🌹🌷 njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
Shemeji yenu cacutee
 
I don't see it that way.

Tying knots ni formalities tu, na mengine ni nyongeza. Real commitment (sio tu kwenye romantic relationships), is about being devoted, supportive, and prioritizing each other's needs & well being. Ikitokea tumechoshana, basi...kila mtu anaenda na mambo yake.
Ooh wee! That one i can't take it! Staying committed is the key and keeping up with eachother but comes with a great risk if it ain't an official kind especially when one party decides to give in. I prefer official committments rather than time wasting ones!
 
Back
Top Bottom