Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini.
2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango chake cha kujiamini kinakuwa chini. Anakuwa hajiamini.
3. Anadharauliwa na hata yeye mwenyewe kujidharau.
4. Nature inatabia ya kufuata mikondo, mawimbi na nguvu husika katika mazingira na kiumbe husika.
5. Ukiwa na low testosterone hata wanawake, mkeo na jamii inakuona dhaifu. Inakuchukulia poa.
6. Homoni hii ni homoni yenye kukupa hulka, haiba na mwonekano wa kiume, mwanaume, mwenye nguvu na mamlaka.
7. Kuanzia utembeaji, ukaaji, uongeaji, stamina, utazamaji, ufanyaji wa tendo la ngono n.k.
8. Mtindo wako wa maisha huathiri Kwa sehemu kubwa uzalishajo wa homoni hii adhimu na ambayo inakufanya uheshimike na ujihisi mwanaume asiyechezewa.
9. Mambo ambayo yanaongeza homoni ya Testosterone
a) Ulaji wa vyakula kwa kuzingatia lishe Bora.
Kula protein ya kutosha kama samaki, au dagaaa, au mayai, au maharage, nyama n.k. Huwezi mwanaume kujitenganisha na protein. Protein ndio uanaume.
Kula mboga za majani, matunda, kidogo vyakula vya wanga kama ugali Dona, wali, ndizi au viazi.
Epuka vyakula vya kukaanga kwa mafuta mengi. Michemsho ndio iwe chakula chako kikuu. Au vyakula vya kuokwa.
b) Kunywa Maji Mengi kulingana na umri na uzito wako. Angalau lita 2 na nusu kwa Siku.
c) Lala masaa yasiyopungua 7 kwa Siku. Na yawe usiku kabla ya saa sits usiku.
d) Fanya mazoezi nyeti kwaajili ya wanaume.
I) Mazoezi ya Pumzi, mfano kukimbia, walau dakika 15 -30 kwa siku
ii) mazoezi ya Moyo,
iii) Mazoezi ya Nyonga (pelvic) kwaajili ya kuimarisha misuli ya mfumo wako wa uzazi ikiwemo uume.
iv) mazoezi sauti. Kuweka koo na mfumo wa sauti vizuri.
v) mazoezi ya akili. Kuitrain akili yako kukutii,
Na mazoezi mengine.
Sio lazima ufanye mazoezi yote kwa pamoja Siku Moja.
Gawanya. Siku tatu Kwa wiki unaweza kukimbia nusu saa + zoezi la stamina.
Siku moja zoezi la pumzi na mwili mzima(mfano kuogelea kwa nusu saa au Lissa lizima)
10. Mazoezi huongeza kiwango cha testosterone na mwonekano wenye nguvu na mamlaka.
11. Kama mwanaume usikubali kuonekana tepetepe, manyama uzembe, hujijali na mwili wako umekushinda.
12. Kama mwili wako tuu umekushinda Nani utamuweza?
13. Usikubali kuona kawaida kupiga bao moja kwa sekunde au Dakika tano umemwaga. Hiyo sio kawaida.
14. Kadiri testosterone inavyoongezeka ndivyo unavyoweza kujidhibiti na kujitawala. Ukijidhibiti na kujitawala ni rahisi kutawala wengine.
15. Testosterone inapandishwa na kuongezwa kwa nidhamu sio bahati. Lazima ufanye juhudi.
16. Uanaume ni Juhudi. Hauji kwa bahati. Uanaume ni nguvu na mamlaka. Haviji kwa bahati. Vinakuja kwa kufanya KAZI.
17. Kadiri unavyokuwa na high testosterone ndivyo mvuto wako kama mwanaume, Mume na Baba unavyoongezeka.
18. Utashangaa heshima kwenye familia yako. Mkeo na Watoto wanakuheshimu na kujiona salama bila wewe kujieleza eleza.
19. Utashangaa wanawake wazuri wanakushobokea na hawakatai. Kwa sababu unanguvu ya asili isiyoonekana inayowateka na kuwavuta kwako.
20. Hata kuhongahonga kutapungua kwa sababu kujiamini kwako kutaongezeka. Usiseme kuhonga kwa mwanaume mwenye pesa ni lazima. Wakati wewe pesa huna. Nilishakuambia kama kipato chako kipo chini ya million mbili kwa mwezi kwa nchi yetu wewe bado Sana. Hutakiwi hata kufikiri unapesa.
21. Kuhonga si kuwa na pesa Bali ni tabia pendwa ya wanaume wasio na nguvu ya mvuto usioonekana au mvuto wa nguvu za mwili. Ndio maana sio ajabu kuna mwanaume kipato chake ni laki tano anahonga Sana au mwingine bodaboda anahonga Sana huku mwingine ni mkurugenzi WA kampuni kubwa hahongi.
22. Ongeza testosterone kwanza.
Mwili uwe fit, mkakamavu, umejengeka vizuri kiume, uwe na stamina, uwe na nguvu ya kukojoza,
Fanya kazi zako
Vaa pendeza
Kuwa msafi.
Then ukishatimiza hayo njoo uniambie kama huna nguvu na mamalaka katika mazingira yako.
23. Mpaka unabaniwa au kunyimwa papuchi hushtuki? Hicho ni kiashiria nguvu na mamlaka zako zipo chini. Na Siku zote usilazimishe.
24. Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Lugalo, Dar es salaam