Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

Nipo mbioni kurudi bongo gharama zake zipoje
Sms 1- 1000 = 30 tsh.per sms
Sms 1001-10000 = 27 tsh. per sms
Sms 10001 - 50000 = 25 tsh.per sms
Sms 50001 na kuendelea 23 tsh. per sms
Registration ya send id yako ni bure.
Karibuni sana
 
Sms 1- 1000 = 30 tsh.per sms
Sms 1001-10000 = 27 tsh. per sms
Sms 10001 - 50000 = 25 tsh.per sms
Sms 50001 na kuendelea 23 tsh. per sms
Registration ya send id yako ni bure.
Karibuni sana
Watanzania tunakwama sana kwenye marketing,hii ulipaswa uweke mwanzo kabisa mwa tangazo lako ili kuepuka maswali,na ili anayekupigia anakuwa ni mteja halisia
 
Nauliza hv:
1:Hzo meseji Kule kwa Wateja wangu inatokea namba yangu ya simu Au Kuna code maalum?

2:Kwa mfano mm naishi Tanga hzo msg nikitaka ziende kwa watu 50000 wa Tanga tu Lakini namba zao sina je nitapata wapi namba za hao watu wa Tanga tu?
 
Itaenda na send id yaani jina la biashara yako, kampuni au wewe utavyotaka

Kuhusu namba Lazima uwe na data base ya namba za hao watu.

Mimi kukusaidia ni kupanga data base uliyonayo kwa sasa then taratibu unakeep records hadi zinakuwa idadi kubwa ya namba.
But trust me hii njia kwa business ya chapchap ni rahisi sana.
Karibu sana
0769 055050
 
Sasa ngoja nikusanue ipo hivi sms-marketing inaweza kurahisisha sana biashara yako kwa kuwafikia moja kwa moja wateja wako kupitia ujumbe mfupi kwenye simu zao wa kupromote bidhaa zako au kutoa taarifa za ofa mbalimbali na kwa wenye sherehe sms za kuhimiza michango na n.k pia sms - marketing ni inafaa sana kwa wasimamizi wa vyama mbalimbali na shule ambao wanataka taarifa mbalimbali za kukumbusha ada na vikao ziwafikie wazazi/walezi moja kwa moja unasubiri kutumia sms-marketing kwenye biashara yako anza sasa.
mimi natoa ofa ya gharama za chini kabisa kama ifuatavyo,
  • Sms 1- 1000 = Tsh. 30 kwa kila sms
  • Sms 1001-10000 = Tsh. 27 kwa kila sms
  • Sms 10001 - 50000 = Tsh. 25 kwa kila sms
  • Sms 50001 na zaidi = Tsh. 23 kwa kila sms
Registration ya send id yako ni bure "nafanya kazi yako kwa uaminifu mkubwa na nadani ya muda"
Karibuni sana

kwa maelezo zaidi nicheck kwa 0769 055050
 
Au labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
 
Sasa hivi ni buku jero wahuni wamekaza
Halotel bado buku

Screenshot_20240422-152925~2.png
 
Au labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
Kwakweli hapo hata mimi sijaelewa, tsh 30/sms mbna ni kubwa.
Wakati makampuni yanakupa tsh 10/sms.
 
Au labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
Utofauti upo angalia mfano wa sms nilioweka hapo..
Wewe ukijiunga utatuma sms kwa no yako tu mimi natuma kwa send id ya jina la biashara yk. Mfano sms za promotion unazopata kwenye simu yk.
 
Kwakweli hapo hata mimi sijaelewa, tsh 30/sms mbna ni kubwa.
Wakati makampuni yanakupa tsh 10/sms.
idadi nimekupa ndogo alafu hakuna kampuni kubwa itakuuzia sms 1000 au 500 iyo bei ni utapewa sms kuanzia million 2 sasa wewe unaweza kununua sms million 2??
 
idadi nimekupa ndogo alafu hakuna kampuni kubwa itakuuzia sms 1000 au 500 iyo bei ni utapewa sms kuanzia million 2 sasa wewe unaweza kununua sms million 2??
Ungeweka pale kwenye uzi wako ueleweke
 
Back
Top Bottom