Sms 1- 1000 = 30 tsh.per smsNipo mbioni kurudi bongo gharama zake zipoje
Watanzania tunakwama sana kwenye marketing,hii ulipaswa uweke mwanzo kabisa mwa tangazo lako ili kuepuka maswali,na ili anayekupigia anakuwa ni mteja halisiaSms 1- 1000 = 30 tsh.per sms
Sms 1001-10000 = 27 tsh. per sms
Sms 10001 - 50000 = 25 tsh.per sms
Sms 50001 na kuendelea 23 tsh. per sms
Registration ya send id yako ni bure.
Karibuni sana
Itaenda na send id yaani jina la biashara yako, kampuni au wewe utavyotakaNauliza hv:
1:Hzo meseji Kule kwa Wateja wangu inatokea namba yangu ya simu Au Kuna code maalum?
2:Kwa mfano mm naishi Tanga hzo msg nikitaka ziende kwa watu 50000 wa Tanga tu Lakini namba zao sina je nitapata wapi namba za hao watu wa Tanga tu?
Sasa hivi ni buku jero wahuni wamekazaAu labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
Sasa hivi ni buku jero wahuni wamekaza
Kwakweli hapo hata mimi sijaelewa, tsh 30/sms mbna ni kubwa.Au labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
Huwezi kutumia watu 1000 message mfululizoAu labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
Utofauti upo angalia mfano wa sms nilioweka hapo..Au labda sijaelewa, tofauti na mimi kujiunga kifurushi cha buku sms 10,000 ni nini? Naomba nifafanue mkuu
idadi nimekupa ndogo alafu hakuna kampuni kubwa itakuuzia sms 1000 au 500 iyo bei ni utapewa sms kuanzia million 2 sasa wewe unaweza kununua sms million 2??Kwakweli hapo hata mimi sijaelewa, tsh 30/sms mbna ni kubwa.
Wakati makampuni yanakupa tsh 10/sms.
Ungeweka pale kwenye uzi wako uelewekeidadi nimekupa ndogo alafu hakuna kampuni kubwa itakuuzia sms 1000 au 500 iyo bei ni utapewa sms kuanzia million 2 sasa wewe unaweza kununua sms million 2??
Ulipata jibu ya namba 2? Naitumia katika kanisa fulani hapa, na inafanya vizuri sana.Kuna namna tofauti za ku utilize hii huduma
1. Kupitia platform yenu
2. Ku provide gateway APIs.
Je hii namba 2 unayo huduma??
Mpaka leo hakutoa jibu, nipe maelezo mkuuUlipata jibu ya namba 2? Naitumia katika kanisa fulani hapa, na inafanya vizuri sana.