Sawa mkuu, ingependez utuambie ni mambo gani yanachangia zaidi wageni kuhamia zaidi jiji la Mwanza, Utofauti wa mindset zao na wenyeji wa Mwanza, n.k.Wewe unaongea nini wewe??????
Haujui kuwa watu wa mara ndio wamepakuza Mwanza.
Hakuna cha ongezeko wala nini walikuwepo tangu mwanzo sana, wewe unao waona wanakuja ni ndugu zao maaana mabrazA zao mambo yametiiki
Yani hio mwanza kukuaa ni pesa ya mkurya, msukuma na mchaga.
Ingependeza tujikite na Jiji la Mwanza kwenye uzi huu, waweza changia maoni yako Mkuu Sal Pahujiulizi ni kwanini mkinga ndo anamiliki maduka makubwa kariakoo na si mzaramo?
Hadi Geita ? Huko kuna fursa zipi za kuwatoa mkoa waoSio Mwanza Tu Bali hata Geita wamejaa watu wa Mara
Fursa zilizopo Mwanza ndio hizo zipo GeitaHadi Geita ? Huko kuna fursa zipi za kuwatoa mkoa wao
Hivi yule Tajiri Mr Kitano ni wa Kigoma ?Mwanza ni jiji la waha
thibitishahujiulizi ni kwanini mkinga ndo anamiliki maduka makubwa kariakoo na si mzaramo?
WASHASHI.Wewe unaongea nini wewe??????
Haujui kuwa watu wa mara ndio wamepakuza Mwanza.
Hakuna cha ongezeko wala nini walikuwepo tangu mwanzo sana, wewe unao waona wanakuja ni ndugu zao maaana mabrazA zao mambo yametiiki
Yani hio mwanza kukuaa ni pesa ya mkurya, msukuma na mchaga.
Umemaliza kila kitu jombaa.Kwamba wenyeji wamepoa kwenye fursa unauhakika Gani Naona wewe ni ugeni tuu wa Jiji unakusumbua ! Utakuwa umefikia Kwa shangazi Yako ,na hizo ni story za kusubiria msosi,kwahiyo baada ya kukutajia watu wa kijijini kwenu kadhaa waliokimbilia Mwanza ndo ukaja na uharo huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12] ukizurura ukaujua mji hutarudia kuongea uharo kama huo.
Karibu Mjini jombaa.
Naifahamu Mwanza maana ukienda hata kwenye maofisi,na biashara utakuta Wenyeji kibao wanafanya biashara za Mahotel,maduka makubwa ,umiliki wa mabasi,viwanda ,mashule na n.k na wamefanikiwa tuu nenda huko utakuta,Wenyeji wengi na hizo fursa unazozisema Zina Kila mtu aliyekuja kutafuta maisha Mjini na ana nia ya kufanikiwa,by the way Mwanza Ina makabila zaidi ya 120 yaliyoko hapa ndo maana ni Jiji sio Kijiji elimika ndugu
Huyu mwanzisha mada atakuwa ana siku mbili toka atoke huko Tarime kwao.Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana
Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka
Hata butimba wafungwa wengi ni wakurya
Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla
Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani
Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha
Sema yote kwa yote tuchape kazi
Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana
Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka
Hata butimba wafungwa wengi ni wakurya
Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla
Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani
Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha
Sema yote kwa yote tuchape kazi
Naongea kwa ushahidi matajiri wakubwa wa Mwanza ni wa huko huko mikoa ya Mara, maarufu ni kina Gachuma na KitanoHuyu mwanzisha mada atakuwa ana siku mbili toka atoke huko Tarime kwao.
Huu Uzi sio wa mashindano Kati ya wasukuma n wakuryaMimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana