Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1727445404385.png

1727447318270.png

Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k.
  • Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ?
  • Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ?
  • Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za jiji ?
  • Ni biashara zipi ambazo zinalipa zaidi Mwanza ?
  • Ni changamoto zipi zinawazuia wenyeji kwenye fursa ?
  • n.k.
 
Wewe unaongea nini wewe??????

Haujui kuwa watu wa mara ndio wamepakuza Mwanza.

Hakuna cha ongezeko wala nini walikuwepo tangu mwanzo sana, wewe unao waona wanakuja ni ndugu zao maaana mabrazA zao mambo yametiiki

Yani hio mwanza kukuaa ni pesa ya mkurya, msukuma na mchaga.
 
Sio wenyeji tu! Mamlaka pia zimepoa sana jiji la mwanza kwa nafasi iliyonayo ina potential ya kuwa moja ya jiji kubwa zaidi tanzania ...kwa mfano mwanza ina potential kwenye sekta ya utalii lakini mamlaka hata hawazifanyii kazi.
 
Wewe unaongea nini wewe??????

Haujui kuwa watu wa mara ndio wamepakuza Mwanza.

Hakuna cha ongezeko wala nini walikuwepo tangu mwanzo sana, wewe unao waona wanakuja ni ndugu zao maaana mabrazA zao mambo yametiiki

Yani hio mwanza kukuaa ni pesa ya mkurya, msukuma na mchaga.
Sawa mkuu, ingependez utuambie ni mambo gani yanachangia zaidi wageni kuhamia zaidi jiji la Mwanza, Utofauti wa mindset zao na wenyeji wa Mwanza, n.k.
 
Kwamba wenyeji wamepoa kwenye fursa unauhakika Gani Naona wewe ni ugeni tuu wa Jiji unakusumbua ! Utakuwa umefikia Kwa shangazi Yako ,na hizo ni story za kusubiria msosi,kwahiyo baada ya kukutajia watu wa kijijini kwenu kadhaa waliokimbilia Mwanza ndo ukaja na uharo huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12] ukizurura ukaujua mji hutarudia kuongea uharo kama huo.
Karibu Mjini jombaa.

Naifahamu Mwanza maana ukienda hata kwenye maofisi,na biashara utakuta Wenyeji kibao wanafanya biashara za Mahotel,maduka makubwa ,umiliki wa mabasi,viwanda ,mashule na n.k na wamefanikiwa tuu nenda huko utakuta,Wenyeji wengi na hizo fursa unazozisema Zina Kila mtu aliyekuja kutafuta maisha Mjini na ana nia ya kufanikiwa,by the way Mwanza Ina makabila zaidi ya 120 yaliyoko hapa ndo maana ni Jiji sio Kijiji elimika ndugu
 
Wewe unaongea nini wewe??????

Haujui kuwa watu wa mara ndio wamepakuza Mwanza.

Hakuna cha ongezeko wala nini walikuwepo tangu mwanzo sana, wewe unao waona wanakuja ni ndugu zao maaana mabrazA zao mambo yametiiki

Yani hio mwanza kukuaa ni pesa ya mkurya, msukuma na mchaga.
WASHASHI.

Baba angu alikataza ndugu zake wasiolewe na WASHASHI.
 
Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana

Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka

Hata butimba wafungwa wengi ni wakurya

Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla

Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani

Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha

Sema yote kwa yote tuchape kazi
 
Kwamba wenyeji wamepoa kwenye fursa unauhakika Gani Naona wewe ni ugeni tuu wa Jiji unakusumbua ! Utakuwa umefikia Kwa shangazi Yako ,na hizo ni story za kusubiria msosi,kwahiyo baada ya kukutajia watu wa kijijini kwenu kadhaa waliokimbilia Mwanza ndo ukaja na uharo huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12] ukizurura ukaujua mji hutarudia kuongea uharo kama huo.
Karibu Mjini jombaa.

Naifahamu Mwanza maana ukienda hata kwenye maofisi,na biashara utakuta Wenyeji kibao wanafanya biashara za Mahotel,maduka makubwa ,umiliki wa mabasi,viwanda ,mashule na n.k na wamefanikiwa tuu nenda huko utakuta,Wenyeji wengi na hizo fursa unazozisema Zina Kila mtu aliyekuja kutafuta maisha Mjini na ana nia ya kufanikiwa,by the way Mwanza Ina makabila zaidi ya 120 yaliyoko hapa ndo maana ni Jiji sio Kijiji elimika ndugu
Umemaliza kila kitu jombaa.
 
Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana

Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka

Hata butimba wafungwa wengi ni wakurya

Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla

Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani

Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha

Sema yote kwa yote tuchape kazi
Huyu mwanzisha mada atakuwa ana siku mbili toka atoke huko Tarime kwao.
 
Naongea kwa ushahidi matajiri wakubwa wa Mwanza ni wa huko huko mikoa ya Mara, maarufu ni kina Gachuma na Kitano
 
Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana

Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka

Hata butimba wafungwa wengi ni wakurya

Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla

Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani

Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha

Sema yote kwa yote tuchape kazi
Huu Uzi sio wa mashindano Kati ya wasukuma n wakurya
 
Back
Top Bottom