Taja matajiri hao wa kikurya na biashara zao nikutajie matajiri 100 wakisukuma wenye biashara kubwa na sio umachinga au ujambazi.Mbona matajiri wengi wa Mwanza ni wa huko huko mikoa ya Mara kina Kitano ?
Tofauti na kitana na Gachuma kuna tajiri gani mwingine hapo Mwanza mkurya zaidi ya vibaka na machinga wa huko igogo na bugarika.Huu Uzi sio wa mashindano Kati ya wasukuma n wakurya
Halafu uzi unahusu watu wa Mara, mbona unafosi zaidi ligi na Wakurya ?Taja matajiri hao wa kikurya na biashara zao nikutajie matajiri 100 wakisukuma wenye biashara kubwa na sio umachinga au ujambazi.
Nakunukuu,Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana
Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka
Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla
Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani
Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha
Sema yote kwa yote tuchape kazi
NanukuuHalafu uzi unahusu watu wa Mara, mbona unafosi zaidi ligi na Wakurya ?
Mkoa wa Mara = Wajita, Wazanaki, Wakurya, Wajaluo, n.k.
Hao kina Kitano, Gachuma ni maarufu lakini ni sehemu ndogo tu ya watu wa Mara
Sifosi ligi na ww mkurya, nachotaka kusema ni kupinga kauli zako za kijinga eti wenyeji wa Mwanza hawajachangamkia fursa, pia nataka kukuambia Mwanza ni jiji kubwa sio jiji la kabila moja ukiacha wakurya hata makabila mengine ni wengi tu pia wazawa waliwaachia nyie wakurya na wajaluo mkajazana milimani na kuharibu mandhari ya jiji.Halafu uzi unahusu watu wa Mara, mbona unafosi zaidi ligi na Wakurya ?
Mkoa wa Mara = Wajita, Wazanaki, Wakurya, Wajaluo, n.k.
Hao kina Kitano, Gachuma ni maarufu lakini ni sehemu ndogo tu ya watu wa Mara
Huyu kafikia mnadani ni kweli mnadani wakurya ni wengi sanaHuyu mwanzisha mada atakuwa ana siku mbili toka atoke huko Tarime kwao.
Bro mimi toka nije mwanza matajiri wa musoma ninao wajua ni watatu tu miaka yote kitana gachuma na ZakariaNaongea kwa ushahidi matajiri wakubwa wa Mwanza ni wa huko huko mikoa ya Mara, maarufu ni kina Gachuma na Kitano
Ndugu mimi toka nije mwanza matajiri wa musoma ninao wajua ni watatu tu miaka yote kitana gachuma na ZakariaTaja matajiri hao wa kikurya na biashara zao nikutajie matajiri 100 wakisukuma wenye biashara kubwa na sio umachinga au ujambazi.
Mlitaka mfanyiwe nini mbona mnapenda lalama sana.Sio wenyeji tu! Mamlaka pia zimepoa sana jiji la mwanza kwa nafasi iliyonayo ina potential ya kuwa moja ya jiji kubwa zaidi tanzania ...kwa mfano mwanza ina potential kwenye sekta ya utalii lakini mamlaka hata hawazifanyii kazi.
My roots are in kanda ya kaskazini sio ya ziwaSifosi ligi na ww mkurya, nachotaka kusema ni kupinga kauli zako za kijinga eti wenyeji wa Mwanza hawajachangamkia fursa, pia nataka kukuambia Mwanza ni jiji kubwa sio jiji la kabila moja ukiacha wakurya hata makabila mengine ni wengi tu pia wazawa waliwaachia nyie wakurya na wajaluo mkajazana milimani na kuharibu mandhari ya jiji.
Yaani watu wa Mara ndo wanawazidi Wasukuma kuchangamkia fursa hapo mjini Mwanza?Ndugu mimi toka nije mwanza matajiri wa musoma ninao wajua ni watatu tu miaka yote kitana gachuma na Zakaria
Wengine wote machinga nenda madukan nenda jengo la Nyerere road plaza wafanya biashara wote wasukuma nenda sokon nenda liberty wote hao ni wasukuma