Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

Ongezeko kubwa la watu wa Mara kuhamia jiji la Mwanza, Wenyeji wa jiji kwanini wamepoa kwenye fursa?

Taja matajiri hao wa kikurya na biashara zao nikutajie matajiri 100 wakisukuma wenye biashara kubwa na sio umachinga au ujambazi.
Halafu uzi unahusu watu wa Mara, mbona unafosi zaidi ligi na Wakurya ?

Mkoa wa Mara = Wajita, Wazanaki, Wakurya, Wajaluo, n.k.

Hao kina Kitano, Gachuma ni maarufu lakini ni sehemu ndogo tu ya watu wa Mara
 
Mimi zaman nilikuwaga najua wasukuma ni wachache sana mwanza mjini kumbe hakuna sema tu wasukuma wana akili sana hawafanyi kabisa biashara za umachinga yuko lazi alime miaka miwili lakin aje afanye biashara ya maana

Wakurya wengi biashara zao ni umachinga ndo maana unaona kuwa ni wengi wakurya walio wengi hawataki kabisa kukaa mkoan kwao na kimbilio lao kuu ni mwanza kuja kufanya umachinga na ukibaka

Biashara kubwa mwanza zimamilikiwa na wasukuma kuanzia jengo la Nyerere road plaza na libet kwa ujumla

Kwahiyo siku utakapoanza kufanya biashara kubwa kubwa ndo utajua wasukuma ni akina nani

Lakin saiz hizo biashara zako za kwenda mnadani na kwenye magurio ndo utaona kama wakurya wengi na minadan wakurya ni wengi kwa kweli pamoja na waha

Sema yote kwa yote tuchape kazi
Nakunukuu,

"Hata butimba wafungwa wengi ni wakurya"

WASHASHI wengi ni watu hatari SANAA

WASHASHI ni kabila la hovyo na makatili SANAA
 
Halafu uzi unahusu watu wa Mara, mbona unafosi zaidi ligi na Wakurya ?

Mkoa wa Mara = Wajita, Wazanaki, Wakurya, Wajaluo, n.k.

Hao kina Kitano, Gachuma ni maarufu lakini ni sehemu ndogo tu ya watu wa Mara
Nanukuu

"Mkoa wa Mara = Wajita, Wazanaki, Wakurya, Wajaluo, n.k"

Hawa wote kwa ujumla wao ndio WASHASHI 😊
 
Halafu uzi unahusu watu wa Mara, mbona unafosi zaidi ligi na Wakurya ?

Mkoa wa Mara = Wajita, Wazanaki, Wakurya, Wajaluo, n.k.

Hao kina Kitano, Gachuma ni maarufu lakini ni sehemu ndogo tu ya watu wa Mara
Sifosi ligi na ww mkurya, nachotaka kusema ni kupinga kauli zako za kijinga eti wenyeji wa Mwanza hawajachangamkia fursa, pia nataka kukuambia Mwanza ni jiji kubwa sio jiji la kabila moja ukiacha wakurya hata makabila mengine ni wengi tu pia wazawa waliwaachia nyie wakurya na wajaluo mkajazana milimani na kuharibu mandhari ya jiji.
 
Naongea kwa ushahidi matajiri wakubwa wa Mwanza ni wa huko huko mikoa ya Mara, maarufu ni kina Gachuma na Kitano
Bro mimi toka nije mwanza matajiri wa musoma ninao wajua ni watatu tu miaka yote kitana gachuma na Zakaria

Yaana makabila yote ya mkoa wa mara watu zaid ya million mbili wawe na matajiri watatu tu

Then watoke front na kudai wao ni matajiri mwanza nzima? Duh hii ni baraa
 
Taja matajiri hao wa kikurya na biashara zao nikutajie matajiri 100 wakisukuma wenye biashara kubwa na sio umachinga au ujambazi.
Ndugu mimi toka nije mwanza matajiri wa musoma ninao wajua ni watatu tu miaka yote kitana gachuma na Zakaria

Wengine wote machinga nenda madukan nenda jengo la Nyerere road plaza wafanya biashara wote wasukuma nenda sokon nenda liberty wote hao ni wasukuma
 
Sio wenyeji tu! Mamlaka pia zimepoa sana jiji la mwanza kwa nafasi iliyonayo ina potential ya kuwa moja ya jiji kubwa zaidi tanzania ...kwa mfano mwanza ina potential kwenye sekta ya utalii lakini mamlaka hata hawazifanyii kazi.
Mlitaka mfanyiwe nini mbona mnapenda lalama sana.
 
First of all.
Tanzania ni ya watu wote hakuna mpaka au ubaguzi wa aina yoyote kila mtu ana uhuru wa kuishi au kufanya biashara sehemu yote iwe kwa kufuta sheria na taratibu.
Pale kariakoo WAKINGA na WACHAGA wamejaa balaa ingawa wenyeji wa jiji ni wazaramo,wagindo etc.Hivyo sehemu yoyote yenye fursa ya pesa lqzima watu tofauti wakimbilie pale.Mwanza kuwa na wakurya na Wahaha(wakigoma) wengi ili halina ubishi wapo wengi tena wengi wao ni majinga na wapiga Dai worker kama kusukuma toroli.Siyo dhambi vijana kupigania maisha .
 
Sifosi ligi na ww mkurya, nachotaka kusema ni kupinga kauli zako za kijinga eti wenyeji wa Mwanza hawajachangamkia fursa, pia nataka kukuambia Mwanza ni jiji kubwa sio jiji la kabila moja ukiacha wakurya hata makabila mengine ni wengi tu pia wazawa waliwaachia nyie wakurya na wajaluo mkajazana milimani na kuharibu mandhari ya jiji.
My roots are in kanda ya kaskazini sio ya ziwa

Mimi nimeleta uzi humu wa wa watu wa mkoa wa Mara kiujumla kuhamia Mwanza ila nimegundua wewe katika makundi yote ya watu ni kama una attack kundi moja la watu wa mara why ??

Kisaikolojia inaonekana uliwahi kukwazika na matendo ya mtu moja na ukadhani sivyo kwamba wote wapo hivyo, , Uliporwa mwanamke ?
 
Ndugu mimi toka nije mwanza matajiri wa musoma ninao wajua ni watatu tu miaka yote kitana gachuma na Zakaria

Wengine wote machinga nenda madukan nenda jengo la Nyerere road plaza wafanya biashara wote wasukuma nenda sokon nenda liberty wote hao ni wasukuma
Yaani watu wa Mara ndo wanawazidi Wasukuma kuchangamkia fursa hapo mjini Mwanza?
Nadhani wakiongea na kuitana Mura hapo mjini wanajua wao ndo wanatawala mji!
Msukuma hasa Mnyantuzu Mwanza hapo kakamata liberty na mitaa ya mjini kati japo kuwa makabila mengine yapo pia!
 
Back
Top Bottom