Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
alilenga atape watoto vipanga na kamseleleko pia kanachangiaHuyu jamaa ni kipofu? Ana F ya kuchagua kisu kikali....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alilenga atape watoto vipanga na kamseleleko pia kanachangiaHuyu jamaa ni kipofu? Ana F ya kuchagua kisu kikali....
Mahakama ya nyokooo...kafee mbelee hukooo!Sasa kwa mfano hapa hizi Sentensi zetu mbili ndizo zimetufikisha mahakamani mbele ya hakimu, ukaulizwa kosa langu Mimi hapo kwenye hiyo Sentensi yangu liko wapi?
Unauelewa kiasi gani wa kusoma na kutambua alama za maandishi?
Una utulivu kiasi gani ndani na nje ya mwili wako?
Ubongo wako ulishawahi kutikiswa ukiwa mtoto?
Umetumwa?
Mahakama ya nyokooo...kafee mbelee hukooo!
Sasa mwanaume unatetea Watu wanatafunaa nchii wananchi wanatesekaa kila siku au unalipwaaaa watu waleee...!!Mbona unabana pua? Kaza msuli huo ongea kiume.
Sasa mwanaume unatetea Watu wanatafunaa nchii wananchi wanatesekaa kila siku au unalipwaaaa watu waleee...!!
Atabaki kuwa kibwengo maji tu mbegu ya vijini mtwezoKwanza, mtake radhi Spika wetu, yeye siyo kibwengo.
Pili, Spika wetu hawezi kuondoka madarakani kwa sababu wewe unataka iwe hivyo.
Nikuhakikishie tu kwamba Spika wetu ataendelea kuwepo utake usitake Na kama itakukera, hamia burundi.
Mkuu Msanii ,japo siungi mkono matumizi ya lugha kali ya machukizo na matukano kwa kutumia maneno "huu upumbavu wa EWURA", kwasababu whatever EWURA does ni kwa mujibu wa mamlaka yake, sio busara kumtukana mtu mpumbavu wakati anatimiza wajibu wa kwa mujibu wa mamlaka yake!, mtukane aliyetunga hayo mamlaka!.Je Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Mkuu tusiingilie familia za watu(Mama Spika na Baba Mkurugenzi Mkuu EWURA).Ni vyema kwanza niwapongeze watakaoelewa mantiki ya huu uzi.
Katika mawanda ya sheria, kuna kitu kinaitwa mgongano wa maslahi. Ni kwamba Hakimu au Jaji au mtu yeyote anayesimama kwenye altare ya kutoa haki anapaswa kujiepusha na hiki kipengele. Huwezi ukasimama kusikiliza na kuhukumu kesi ambayo inakuhusu au inamhusu mhusika wa kesi mwenye mahusiano ya karibu nawe.
Je, Bunge letu linaweza kushughulikia kilio cha wananchi kuhusu huu upumbavu wa EWURA?
Je, mume akiwa Rais, anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa jaji mkuu?
CC
Pascal Mayalla Erythrocyte Kiranja Mkuu Gwappo Mwakatobe FaizaFoxy Tate Mkuu mimiamadiwenani Lucas mwashambwa Ritz Joannah Mama Amon @Mamdenyi sifi leo Mdude_Nyagali Mwabukusi raraa reree kimsboy CHADEMA Ccm chama changu Napelel
Ni marufuku kuchanganya Dini na siasa ila ruksa kuchanganya Biashara na Siasa!CCM kimekuwa ficho na pango la wanyang'anyi
Bungeni pamotoMsimamizi wa EWURA ni mume wa spika, what do you expect?
Huyu Mkuu anataka tujadili mambo ya familia ya Redio na mmewe!We we we , tena na uteme mate chini , unajua Mkurugenzi wa Ewura ni nani na Spika ni Nani.
Bunge lile unalifananisha na bunge hili la washabikia singeli na amapianoBunge halikukurupuka kumuondoa Mheshimiwa Lowasa Madarakani kama mleta mada anavyolitaka bunge likurupuke. Kwa Mh. Lowasa, hoja ya yeye kuhusika kwenye ufisadi Ililetwa hoja bungeni. Bunge kwa umoja wao likairidhia. spika akaunda tume kuchunguza hoja hiyo. Tume ikafanya kazi yake na ikaleta majibu ya uchunguzi wao. Tume ilidhibitisha Mh. Lowasa kuhusika na ufisadi wa Richmond. Kilichofuata ni Bunge lilimwahibisha kwa kufuata taratibu
Kanavyo tabasamu na kuchekacheka utasema mtu wa maana kumbe hamna kitu!Hivi hayo mapesa yote anayapeleka wapi huyo mkwere? Anajisikiaje kutengeneza faida ya billions kwa siku kwa kuwaumiza watanzania?
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Bunge la sahv wameweka matumbo yao mbeleWatumie busara wao kwanza kwenye Kuongoza na kuweka maslahi ya taifa mbelee sio Matumbo yao na familia zaooo..!! Wanapeana vyeo kifalaa tuu..
Mkuu acha kutetea upuuzi,uyo ndiyo tatizo kwenye nchi kwa sasa na ata Mama hana sauti kwasababu ya uyo mtu.Ifike mahala atambue kuwa hii nchi siyo ya ukoo wake,alipewa nafasi kuongoza kama wenzake waliomtangulia,atulie aache wengine nao waongoze!Hata mimi huyo mzee Kikwete ananichosha sana na naamini ndio sehemu ya tatizo la nchii hii.
Hila kila mtu alaumiwe kwa matatizo stahiki; hana influence yeyote kwenye mafuta hata kama ana miliki vituo vya mafuta.
Mnyonge mnyongeni; hila haki yake mpeni.
Kila kitu vita vya Urusi na Ukraine,mbona Sukari inazalishwa hapo Kilombero na Kagera lakini inauzwa 3200 kwa kilo!WaTZ fuatilieni huko ulimwenguni ndio mtajua na kuelewa kinachotokea ,bei ya mafuta imepanda dunia nzima na itazidi kwenda juu, ni baada ya Warusi na Waarabu kupunguza uvutaji na huu ni mkakati wa kuwaangusha wamagharibi na kuwakomesha kutaka kuitawala dunia.
Nchi nyingi za Afrca zimeanza kuamka juu ya wamagharibi maana hawa wamagharibi wanakwenda na wewe ,wakishakufilisi wanakutupa na kukuchafua, tumeona Afghanistani,Syria ,Iraq,Libya na sehemu nyingi tu ,hata kuvurugika kwa Ukraini sababu ni wao wamagharibi na wameshaanza kimahesabu kuwatupa mkono.
Serikali isifanye subira kujiunga na BRICS ,ndio huko kimbilio la wanyonge na waarabu wameshakimbilia huko.
Siku hizi hakuna tena kumuonea haya wamagharibi ,neno kwa neno washike adabu zao na sasa ni kuheshimiana tu.