Wanaume wangapi wanaweza kuua simba Kwa mkuki mabomu ya gongoramboto tu wanaume walisahau wake na Watoto wao gay element
Mimi nahisi vyakula pia vinachangia
Mtu Chakula chake kikubwa ni chakisasa nadhani hata mjegejo atakao utoa utakua wakifedhuri tu nakuishia kua shoga
Tukitokomeza na Wafiraji Ushoga utapungua kama sio kuisha
Wanaoharibu vijana tunaishi nao na kucheka nao, tunaelekza nguvu na lawama kubwa kwa wanaoharibiwa badala ya kushambulia βMbuβ na βMazalia β ya Mbu kwa pamoja
Ni sawa na Vita ya Rushwa, ukikazana kukamata wapokea Rushwa bila ya kusumbua pia watoaji kazi inakuwa kubwa
Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
Kwa mfano dhehebu lipi?Kwakweli hata mimi nashangaa sana ..cha ajabu kuna baadhi ya madhehebu ya dini yanaunga mkono swala hili wakati limewekwa wazi kabisa katika vitabu vya dini.sasa sielewi inamaana wanapingana na biblical theory of creation ambayo inaeleza wazi kuhusu dhumuni la uumbaji
Huwa nashindwa kutofautisha kati ya shoga na mfiraji...kwa kifupi wote ni mashoga tu.Tukitokomeza na Wafiraji Ushoga utapungua kama sio kuisha
Wanaoharibu vijana tunaishi nao na kucheka nao, tunaelekza nguvu na lawama kubwa kwa wanaoharibiwa badala ya kushambulia βMbuβ na βMazalia β ya Mbu kwa pamoja
Ni sawa na Vita ya Rushwa, ukikazana kukamata wapokea Rushwa bila ya kusumbua pia watoaji kazi inakuwa kubwa
Utandawazi umeharibu sana jamii. Serikali inabidi ichuje yanayofaa na yasiyotufaa ili kuiunda jamii bora.Hizo boarding schools zilikuwepo tangu utawala wa Mwl Nyerere. Mbona wanafunzi wa wakati huo ambao kwa sasa wengine ni vigogo serikalini hawakuwa wanaswekana mipini ?
Ijapokuwa wapo lakini ni kwa % ndogo sana.
Cha ajabu sheria za Jf zinawaruhusu wajinadi.Mkuu, huko Russia wapo wengi tu kama ilivyokuwa katika nchi zingine za ulaya lakini ni sheria ndiyo inayowazuia kujinadi hii ni kama ilivyokuwa China ambapo mashoga wapo kibao ila mila na sheria haziwaruhusu kujinadi hadharani.
mkuu umenena vyema ila tatizo hata mfumo wetu wa sheria nadhani uko na matatizo na nadhani pia ifike wakati hata hii mikataba ya kimataifa iwe inaangaliwa sana kabla ya kuikubali kama sehemu ya sheria zetu.Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
mkuu umenena vyema ila tatizo hata mfumo wetu wa sheria nadhani uko na matatizo na nadhani pia ifike wakati hata hii mikataba ya kimataifa iwe inaangaliwa sana kabla ya kuikubali kama sehemu ya sheria zetu.
kwa mfano watu wa haki za haki za binadamu watakuambia "ushoga ni moja tu kati ya matatizo yanayoweza kumkumba mwanadamu yeyote yule hivyo lazima walindwe kama moja ya haki zao za msingi"
binafsi naunga mkono kama si kuondolewa kabisa bas atleast tupunguze hili janga mana kila kukicha ni janga juu ya janga jingine na wengi wanaofanya hivyo wanajua hakuna sheria inayowabana hivyo matokeo yake ni kuongezeka kwa hili taifa la wakuitwa SANCHI
Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
Tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati hili janga.ni uchungu wa ajabu sana mzazi anapojua mwanae ni shoga au msagaji.
Lakin ninachoaamini ni kwamba mwanaume anaye famya mapenzi na mwanaume mwenzake ajue kuwa atapata watoto.wa kiume ambao nao watakuja kuwa chakula cha wanaume wenzie.ili uuone uchungu alionao mzazi aliye na mroto shoga.
Nadhani kama mashoga wapo basi kuna wanaopenda kuwatumia hao mashoga.tuanzie kuwalaani hao kwanza kwa sababu mashoga nao walisababishiwa huoushoga,na siyo kwamba walizaliwa wakipenda kuwa mashoga.
Ni wewe pekee umejaribu kuuendea UKWELI, Ushoga hasa unatokana na ulaji wa kitimoto.
Wazazi walao kitimoto sana licha ya wao wenyewe kuwa mashoga bali hata watoto wanaozaa wanayo nafasi kubwa ya kuwa Mashoga.
Zanzibar ndio inaongoza kwa mashoga je huko kitimoto inaliwa sana