Ongezeko la mashoga ni laana kwa taifa au athari ya utandawazi?

Serikali, Familia, Shule, Viongozi wa Kidini na Asasi za Kirai nk hizi zote zikisimama kwenye nafasi zao na Wananchi wote Kwa ujumla kuupungunza na kama si kuusambaratisha kabisa ushoga inawezekana na ni Jambo la mara Moja, haya Mambo hayakuanza yalianzia huko enzini ingawa yalikua yakifanyika sirini kwakua Taasisi tajwa hapo Juu zilikua imara. Kurudi kwenye nafasi yetu inawezekana
 
Mwanaume wa mkoani anayeweza pambana na bomu wa kwanza nimekuona

Nangoja wengine
Wanaume wangapi wanaweza kuua simba Kwa mkuki mabomu ya gongoramboto tu wanaume walisahau wake na Watoto wao gay element
 
Mimi nahisi vyakula pia vinachangia
Mtu Chakula chake kikubwa ni chakisasa nadhani hata mjegejo atakao utoa utakua wakifedhuri tu nakuishia kua shoga

Ni wewe pekee umejaribu kuuendea UKWELI, Ushoga hasa unatokana na ulaji wa kitimoto.

Wazazi walao kitimoto sana licha ya wao wenyewe kuwa mashoga bali hata watoto wanaozaa wanayo nafasi kubwa ya kuwa Mashoga.
 
Tukitokomeza na Wafiraji Ushoga utapungua kama sio kuisha

Wanaoharibu vijana tunaishi nao na kucheka nao, tunaelekza nguvu na lawama kubwa kwa wanaoharibiwa badala ya kushambulia ‘Mbu’ na ‘Mazalia ‘ ya Mbu kwa pamoja

Ni sawa na Vita ya Rushwa, ukikazana kukamata wapokea Rushwa bila ya kusumbua pia watoaji kazi inakuwa kubwa

Kwani huyo anayefanywa amelazimishwa kufanywa??!, si kuwashwa kwake ndiko kunako msumbua.----- utalaumu vipi mlaji wakati hoteli ziko wazi kwa ajili ya walaji.
 
Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.

Mkuu sababu kuu ya ushoga ni ulaji uliokithiri wa KITIMOTO miongoni mwa jamii.
 
Kwakweli hata mimi nashangaa sana ..cha ajabu kuna baadhi ya madhehebu ya dini yanaunga mkono swala hili wakati limewekwa wazi kabisa katika vitabu vya dini.sasa sielewi inamaana wanapingana na biblical theory of creation ambayo inaeleza wazi kuhusu dhumuni la uumbaji
Kwa mfano dhehebu lipi?
 
Tukitokomeza na Wafiraji Ushoga utapungua kama sio kuisha

Wanaoharibu vijana tunaishi nao na kucheka nao, tunaelekza nguvu na lawama kubwa kwa wanaoharibiwa badala ya kushambulia ‘Mbu’ na ‘Mazalia ‘ ya Mbu kwa pamoja

Ni sawa na Vita ya Rushwa, ukikazana kukamata wapokea Rushwa bila ya kusumbua pia watoaji kazi inakuwa kubwa
Huwa nashindwa kutofautisha kati ya shoga na mfiraji...kwa kifupi wote ni mashoga tu.
 
Maandiko yanatimia chukua maamuzi binafsi km umesikia vizur uwez pingana na Maandiko.
 
Hizo boarding schools zilikuwepo tangu utawala wa Mwl Nyerere. Mbona wanafunzi wa wakati huo ambao kwa sasa wengine ni vigogo serikalini hawakuwa wanaswekana mipini ?
Utandawazi umeharibu sana jamii. Serikali inabidi ichuje yanayofaa na yasiyotufaa ili kuiunda jamii bora.

Lakini ingelipendeza zaidi ingelitolewa elimu kwanza kwa jamii wafahamu athari ya ushoga. Kisha watunge sheria madhubuti kuhusiana na ushoga.

Mfano Russia, ushoga unadhibitiwa na jamii yao kwa sehemu kubwa hawataki hata kulisikia wala kuliona. Ijapokuwa wapo lakini ni kwa % ndogo sana.
 
Ijapokuwa wapo lakini ni kwa % ndogo sana.

Mkuu, huko Russia wapo wengi tu kama ilivyokuwa katika nchi zingine za ulaya lakini ni sheria ndiyo inayowazuia kujinadi hii ni kama ilivyokuwa China ambapo mashoga wapo kibao ila mila na sheria haziwaruhusu kujinadi hadharani.
 
Cha ajabu sheria za Jf zinawaruhusu wajinadi.
 
Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
mkuu umenena vyema ila tatizo hata mfumo wetu wa sheria nadhani uko na matatizo na nadhani pia ifike wakati hata hii mikataba ya kimataifa iwe inaangaliwa sana kabla ya kuikubali kama sehemu ya sheria zetu.
kwa mfano watu wa haki za haki za binadamu watakuambia "ushoga ni moja tu kati ya matatizo yanayoweza kumkumba mwanadamu yeyote yule hivyo lazima walindwe kama moja ya haki zao za msingi"
binafsi naunga mkono kama si kuondolewa kabisa bas atleast tupunguze hili janga mana kila kukicha ni janga juu ya janga jingine na wengi wanaofanya hivyo wanajua hakuna sheria inayowabana hivyo matokeo yake ni kuongezeka kwa hili taifa la wakuitwa SANCHI
 
Kula nyama ya kitimoto ndiyo sababu kuu ya kuzaa watoto mashoga.

Na hata mashoga wengi ni walaji sana wa kitimoto.

🐷🐷 👈🏻 ni hatari sana kwa tabia, mienendo,hulka na afya za binadamu.
 
Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.

Tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati hili janga.ni uchungu wa ajabu sana mzazi anapojua mwanae ni shoga au msagaji.

Lakin ninachoaamini ni kwamba mwanaume anaye famya mapenzi na mwanaume mwenzake ajue kuwa atapata watoto.wa kiume ambao nao watakuja kuwa chakula cha wanaume wenzie.ili uuone uchungu alionao mzazi aliye na mroto shoga.

Nadhani kama mashoga wapo basi kuna wanaopenda kuwatumia hao mashoga.tuanzie kuwalaani hao kwanza kwa sababu mashoga nao walisababishiwa huoushoga,na siyo kwamba walizaliwa wakipenda kuwa mashoga.
 
Ulaji wa kitimoto uliokithiri katika jamii leo ndiyo athari ya mashoga.

Kama mzazi hutakuwa shoga kwa kula kitimoto basi mtoto utakayemzaa most likely atakuwa shoga sababu ya sperms/ yai la mama yatakuwa yametokana na proteins za nyama ya nguruwe.
 
Wengine mnatoa sababu dhaifu sana.
Mwingine husema vyakula kama chips na mayai ya kisasa. Not true. Hivi vyakula vya kisasa tunavyopiga kelele huku Afrika wenzetu wameanza kuvitumia tangu miaka hiyo 1600's.
Mwingine anasema mavazi, not true. Haya mavavi wanayovaa vijana leo hayajaanza juzi. Yanakuja yanapotea, inaingia fasheni mpya inapotea pia.
Haya mambo ya ushoga ni mambo ya kiroho(pepo).
 
Zanzibar ndio inaongoza kwa mashoga je huko kitimoto inaliwa sana
Ni wewe pekee umejaribu kuuendea UKWELI, Ushoga hasa unatokana na ulaji wa kitimoto.

Wazazi walao kitimoto sana licha ya wao wenyewe kuwa mashoga bali hata watoto wanaozaa wanayo nafasi kubwa ya kuwa Mashoga.
 
Tatizo hawa mashoga wengine wapo wanafanya ushoga waziwazi na tunawajua lkn tumekuwa kimya tunawaangalia tu, tunasahau watoto wanaona na wanaanza kuiga. Mimi nadhani dawa ni sisi wananchi kuanza kuwashughulikia kimyakimya.
 
Zanzibar ndio inaongoza kwa mashoga je huko kitimoto inaliwa sana

Toa ushahidi, juu ya yote wanaweza kuwa wanakula kitimoto kwa siri, kwani huoni mwezi wa Ramadhani nyama ya kitimoto huwa inadoda??, kwanini??, wapo wanaojiita waislamu wanakula kwa siri pia.

Lakini ukweli upo pale pale kwamba ulaji wa kitimoto unachangia sana wazazi kuzaa watoto Mashoga.
 
Back
Top Bottom