Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

A
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum

Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.

Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.

Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Apongezwe kwa haki🤣🤣🤣🤣 sio kinyume chake. We jamaa una akili sana
 
Wajuzi iangalieni hii
IMG-20220515-WA0003.jpg
 
Kwahiyo 56,580/= ni ndogo?
Ni kiini macho?
Ni sawa sawa na hamna?
Yan hela ya kula week nzima na chenji unaita kiini macho?

Watu mnajua kujishaua aisee..
 
Kwahiyo 56,580/= ni ndogo?
Ni kiini macho?
Ni sawa sawa na hamna?
Yan hela ya kula week nzima na chenji unaita kiini macho?

Watu mnajua kujishaua aisee..
Utapasua kichwa kwa kubishana na watu wasio na faida
 
Asante mkuu, kwa taarifa,Kuna Bwana mmoja alianzisha uzi akiwatukana walimu Sana ila nilisema vitu viwili MOJA kuu Kama kweli ndo Iyo nilisema uzi umekuja kuwaanda kifikra , nasubili more up to date zingine TOKA hapa jf kisima taarifa thanks
 
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Kilichofanywa na Samia ni cha kupongezwa.
Hili ni ongezeko kubwa sana kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.
Just imagine, kama mtu wa kima cha chini anayepata 300k per month, atapata increment ya 40k per month, akipata increment kama hiii kwa miaka 10, ina maana kima cha chini kitakuwa kimefikia sh laki 7, kutoka kwenye laki tatu ya sasa.
Mtu ambaye yuko 'so ambitious na maisha' utumishi wa umma ni koti linalombana. Bora atafute fursa nje ya utumishi wa umma ikiwemo kujiajiri, kuliko kushinda na makasiriko.
 
Kilichofanywa na Samia ni cha kupongezwa.
Hili ni ongezeko kubwa sana kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.
Just imagine, kama mtu wa kima cha chini ansyepata 300k per month, atapata increment ya 40k per month, akipata increment kama hiii kwa miaka 10, ina maana kima cha chini kitakuwa kimefikia sh laki 7, kutoka kwenye laki tatu ya sasa.
KWA Iyo yule aliekua anapata mil MOJA maisha yako hivyo miaka sita ,punguzeni na mamishara yenu huko,leo mhudum wa bunge,au sectary / mfagiaji wa ofisi kwenye wizara yote mshahara wake ni Kama secretary wa kwenye halmashauri,mfagiaji wa kwenye alimashauri, au wa Ikulu na japo elim wanalingana ,hakuna sifa Hapa nchi hii inaubaguzi Sana hii
Sasa Mungu anasema 2025 Kama uchaguzi utakuepo AMEkATAA hata iweje hamtoboi, asema Bwana , huwezi Tesa watu wa Mungu ambao mmeumbwa sawa tofauti ni madaraka tu ,usilipwe, niliyasema haya KWA Mwendazake, na nayarudia tena serikali ya ccm mnatesa watu, mnakiuka utu ,haki na usawa ,Kama ilivyo Katika miiko yenu, nimemaloza tunzen huzi huu
 
Back
Top Bottom