Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Unasemaje?Boss wa tucta kasema walio na mshahara kuanzia milioni mbili wataongezewa asilimia 1%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje?Boss wa tucta kasema walio na mshahara kuanzia milioni mbili wataongezewa asilimia 1%
Apongezwe kwa haki🤣🤣🤣🤣 sio kinyume chake. We jamaa una akili sanaHakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Hiyo hesabu gani ulikokotoa hapo
Utapasua kichwa kwa kubishana na watu wasio na faidaKwahiyo 56,580/= ni ndogo?
Ni kiini macho?
Ni sawa sawa na hamna?
Yan hela ya kula week nzima na chenji unaita kiini macho?
Watu mnajua kujishaua aisee..
Hakuna lolote hapo ni danganya toto tupu
Au hujui maana ya neno kiini macho
Sasa kiini macho kiko wapi hapo? Kinachofanywa na serikali ya Tanzania ndiyo utaratibu wa duniani kote. Kama huna cha kukosoa ni akheri kukaa kimya kuliko kuanika ujinga wako
Vipi mkuu wameongezewa, elfu MOJA, ? Nacheka Kama mazuri, inaweza kuwa hivyo alafu mei mosi ijayo utawakuta wamejaa uwanjani, na mabango makubwa Kama nyumba Yani,Ni vilio nchini
Elfu 20Vipi mkuu wameongezewa, elfu MOJA, ? Nacheka Kama mazuri, inaweza kuwa hivyo alafu mei mosi ijayo utawakuta wamejaa uwanjani, na mabango makubwa Kama nyumba Yani,
Asante mkuu, kwa taarifa,Kuna Bwana mmoja alianzisha uzi akiwatukana walimu Sana ila nilisema vitu viwili MOJA kuu Kama kweli ndo Iyo nilisema uzi umekuja kuwaanda kifikra , nasubili more up to date zingine TOKA hapa jf kisima taarifa thanksElfu 20
Kilichofanywa na Samia ni cha kupongezwa.Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
KWA Iyo yule aliekua anapata mil MOJA maisha yako hivyo miaka sita ,punguzeni na mamishara yenu huko,leo mhudum wa bunge,au sectary / mfagiaji wa ofisi kwenye wizara yote mshahara wake ni Kama secretary wa kwenye halmashauri,mfagiaji wa kwenye alimashauri, au wa Ikulu na japo elim wanalingana ,hakuna sifa Hapa nchi hii inaubaguzi Sana hiiKilichofanywa na Samia ni cha kupongezwa.
Hili ni ongezeko kubwa sana kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.
Just imagine, kama mtu wa kima cha chini ansyepata 300k per month, atapata increment ya 40k per month, akipata increment kama hiii kwa miaka 10, ina maana kima cha chini kitakuwa kimefikia sh laki 7, kutoka kwenye laki tatu ya sasa.