Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna woiiiiiiih.
 
Kwani wao kujibinua makalio inakuaffect?. Acha roho mbaya serikali Ina mambo mengi japo yakipuuzi
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu

Amajuu ndio nini hiyo
 
Mkuu sio hadi huko mbona wanabinua makalio hadharani siku hizi....

Vijana wa kisasa wana entertain sana huo upuuzi,,, so wanapewa wanachotaka...

Ni kama zile enzi za mwanya na dimpoz...

Ni trend tu,, Mchunge mwanao
 
Instagram Ina ubaya?. Sema mnawafollow Akina ambaruti ndoshida
Haina ubaya mkuu, sema nimechoka hii mitandao ukisema kila unaokuja ujiunge itakuwa shida, nikaamua niliyonayo inatosha, FB, Twitter, WhatsApp, jf, VK, YouTube
 
Msiwe hampitwi na chochote hapa duniani, muwe na kiasi kwa kila jambo.

Binafsi hiyo mitandao hata siijui maana yake ni nini mbali na kuwa nayo tu katika simu yangu.
 
Jiondoe na JF pia
 
Duh! Na wee ni noma hadi whatsap, umri wako na kipato chako mkuu ningependa kukijua.
 
Acha USHAMBA kwani nani kakuzuia na Wewe KUCHEZESHA?
 
Kwa style hii hatujengi...aisee huyu hatari jamani alafu wanawake wapuuzi wanasema eti nyama ile ile...weee huyo akikukatikia hivyo lazima uuze nyumba ya urithi
jenga mzee pisi kali haipoi ghetto
 
Duh! Na wee ni noma hadi whatsap, umri wako na kipato chako mkuu ningependa kukijua.

Natatimiza miaka 40 hivi karibuni na kipato changu ni kama 4-5m kwa wastani kila mwezi. Iko shida kwani mkuu?
 
Wanachezesha makalio kama makerubi ili wapate pesa.
Hawa watumishi feki wanasababisha maneno ya kwny vitabu vitakatifu yaonekn hayana maana kabisa sasa kerubi kwenye Biblia na kuchezesha makalio wapi na Wapi jameni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…