Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #61
Kweli kabisa mkuu,
Ima
Analalamikia wasomali 200,000 tu kwenye population ya zaidi ya 60m
Hapa tunalingana na UK ambayo ni kisiwa kidogo chenye watu 68m tena kadogo sana ila angalia kuna wa Asia zaidi ya 5m ambao wana changia pato la nchi kwa kiasi kikubwa sana
Badala tufurahie wanatuletea maendeleo na kodi nchini tunapiga keleleView attachment 2871276
Kwanza uelewe kwamba hakuna aliyewafukuza somali bantus wenye uwezo waliondoka kama wasomali wengine kwa sababu ya vita.Majority ya pande zote mbili walibaki Somalia na wanaendelea kuishi na ndio wakulima wakubwa wa ndizi,matunda,mahindi na mihogo.Na ndio supplier wakubwa wa vyakula na matunda Somalia. Kwani sehemu wanayoishi kwenye mito Shabelle na Juba ndio sehemu zenye ardhi yenye rutuba sana Somalia.Shida ni mentality yao!! Kama wamewafukuza nchini kwao wasomali wenzao kwa kua tu n wabantu tukawapokea tanzania tena tunawaleta walewale waliowatukuza na kuwaua unaona inaleta sense!!!
Wasiwasi ndio akili
Mkuu ukiangalia ukweli hao hawakufukuzwa kama tulivyoaminishwa na wavuruga amani nchini bali walikimbia vita ya huko na kuamua kurudi kwa ndugu zao wa zamaniShida ni mentality yao!! Kama wamewafukuza nchini kwao wasomali wenzao kwa kua tu n wabantu tukawapokea tanzania tena tunawaleta walewale waliowatukuza na kuwaua unaona inaleta sense!!!
Wasiwasi ndio akili
Mkuu tatizo la sisi ni chuki baina yetu ndio maana hata sisi wakija Waethiopia wakimbizi watawekwa mbele ya makamera na polisi wanapiga nao picha kama wahalifuUnafuatilia mambo ww au unasema tu!!
unajua ni wabantu wangapi nje ya somalia wanaookolewa kutokana na Ethnic cleansing!!
Nimekuwekewa na headline hapo!!
Unajua ninakuonaje?.Hilo lingine lakini wabantu wapo Somalia miaka mingi sana na wana maisha kama raia wa kawaida
Kuhusu kufukuzwa hiyo ni siasa zaidi na sio vingine
Tz mpaka leo kigoma ni kama nchi jirani na mnawasumbua Waha kila kukicha je hilo unalisemea vipi?
Mifano inatofautiana sana hiiUnajua ninakuonaje?.
Vile ambavyo we ungeliniona mimi endapo ningelisema marekani hakuna ubaguzi kwasababu niliwahi hudhulia tuzo za M-beat nikaona mtu mweusi( Chinggy) akipewa tuzo.
Fact za kihistoria,wahanga nk..unazikata then na kutoa ushahidi wako wa kwenda somalia na kukuta wabantu wanamiliki maduka!!.
Shida kweli kweli.
Mifano inatofautiana sana hii
Tuishi kwa amani tu, hakuna mtu anaeweza kuzuia uhamiaji duniani au kuzuia ubaguzi ni ngumu sana
Weusi wenyewe tunabaguana hata India wameuwa weusi na kuwabagua sana lakini hatuwezi kufukuza wahindi hapo au kufunga balozi zao
Humu tutapingana kwa hoja lakini maishi yanaenda tofauti na maamuzi ya watu wachache
Sawa mkuu nimekuelewaKama ni hoja ! ongelea hoja lakini usipuuze ukweli wenye fact kwa hisia zako binafsi
Wewe hata unachokisoma hukielewi.
East African Coast Wasomali wapo kabla ya Wabantu.
Mifano inatofautiana sana hii
Tuishi kwa amani tu, hakuna mtu anaeweza kuzuia uhamiaji duniani au kuzuia ubaguzi ni ngumu sana
Weusi wenyewe tunabaguana hata India wameuwa weusi na kuwabagua sana lakini hatuwezi kufukuza wahindi hapo au kufunga balozi zao
Humu tutapingana kwa hoja lakini maishi yanaenda tofauti na maamuzi ya watu wachache
Shukran bossHiki ndicho ulipaswa kukiongea toka hawali.
Siyo wangu ni mtu amepost huu hapa👉 Jamii ya wazaramo inapotea kwa KasiNaomba nikaangalie uzi wako mkuu
Siyo wangu ni mtu amepost huu hapa[emoji117] Jamii ya wazaramo inapotea kwa Kasi
Na wanajuhudi sana kuzaliana wakikutana huko kwenye mdundikoWazaramo hawapotei wanakimbia mjini na hawawezi kuchanganyika ndio shida
Ukienda dar wengi wanakimbilia chanika huko, vikindu, na kuelea kisarawe huko
Nisome tena nimesema nini, au nirudie?View attachment 2871520
Hyo costal ya East africa ipi ?? costal ya somalia na sehemu kidogo ya kenya.
Huna unachokijua kuleta ubabaifu hapa
Nisome tena nimesema nini, au nirudie?
Na wanajuhudi sana kuzaliana wakikutana huko kwenye mdundiko