Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Nadhan mnafaham venye footballer mahiri, tena captain wa kikosi cha shule hakosi totos.

Ndo uyu apa
 
Jf noma, wote humu ni Ma T.O , handsome , basketballers,hamna hata mmoja aliyekua kichwa panzi kama siye😂😂. Heshima kwenu Basketballers wote maana nilikua nawazimikia sana. R.I.P Kobe Bryant.
Sa Kobe Brayant kaingiaje hapo?🤔🤔 huku umesema huko sikuli hao Basketballer ulikua unawazimikia si Umutaje tu huyo uliewahi kumtunuku Tunda aliekua anacheza Basket😂😂
 
Nilikuwa naupiga mwingi saana kwenye hisabati,uwanjani boli limelala, kisha enzi hizo masongi ya juma nature, tid... tupac(dear mama yoote, keap ya head up,hit em up,do for love zipo kwa mbali)
 
Mmmh! Watoto wabichi sio kama hatuwataki ila wana manjegeka mengi. Mara hataki hiki, mara anataka hiki coz wengine shida kwenye mapenzi hatupendi
Si wote bana kuna walio vizuri tu inamaana hujawahi kubahatisha hata 1? Au wote mnaleteana hayo majegeka?🤔
 
Sema hapo kwenye ubasketballer, ningesoma shule moja na ww, basi ningekula hilo tunda kizembe sana
Ooh nawewe ni mmoja wao? Ok ila si kizembe hivo mkuu usingeamini macho yako. Napenda vile mnachezaga tu na mlivo tallest basi si vinginevyo😂
 
 
Madem walikua wananikubali sababu ya ucheshi mtu wa stori nyingi....ila domo zege alafu mbonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…