Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
NifundisheHata nikikufundisha umeshalishwa sumu kuwa forex ni utapeli wakati watu wanapiga pesa, NAKUHAKIKISHIA kwenye FOREX wakati natoka mwenge to posta foleni ile mimi naingiza usd 30 kila siku sina presha na mtu.
[emoji38] [emoji38] [emoji12]haaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaa ka Rea wamekatapeli pia ka the bold hakafai
Possible but not easy job...Mtu alie smart na mtulivu kwenye forex atapiga pesa sana sana sana sana, wengi waliokua wanamponda jamaa leo watapata pa kusemea na kupiga kelele ili hali bado wako vile vile
usd 30 kwa kila siku na unavuta mpunga wako mpesa kama una familia huli, hununui umeme, hupati nauli ya watoto shule?? mshahara wako ukabaki palepale?? matatizo ya watu yasifanye forex kuonekana ni utapeli, kama umefundisha changanya na akili zako utembee mbele
AS always say, i will put my last cent on Forex ....
Nilishaambiwa hela zinazokuja.kirahisirahisi ni za kuzikimbiaAcha wapigwe walikua wanajiona wao ndio wajanja wengine tunao doubt ni malofa
Kama kuna kampuni jingine la utapeli nadhani lije tena maana wajinga hata jf wapo wa kutoshakiukweli TMT ni genge la matapeli na vibaka....Hii kampuni ilianzishwa kwa kusudi maalum la kutapeli Watu .
Kama kiasi gani kabeba? Na kama TMT si kuna shareholders na kwanini awe signatory pekee yake?Niko kwenye group la TMT hiyo imewekwa na Createn ambaye amebaki kama Director,
Inavyo onesha jamaa kabeba mgao wake
HahaaaaaHivi unazikumbukazile dola wanasema kwa siku naingia milioni ngapi kwa wiki naingiza milion 20 sijui au nimesahau leo imeshuka hadi kwa siku dola30
Dogo kwa mtiririko wa kupanga maneno yupo fit sana.Ogopa sana mtu mwenye maneno mengi yanayovutia.
Wa south wanamalizana ki mafianso tu. Ajiangalie kama ni kweli mkuu.Aise huyu bwana mdogo mbona kawa tapeli sana...
Awe mwangalifu wasije wakamzimisha maana wa south si wa kuwachezea kabisa...
Sasa hivi unaongea bila ushabiki kidogo nakuelewa....ila forex hainaa utapeli yataka akili kubwa kufanya shida yaa watz kujifanya wanajua kumbe hawajui hapo tmt hakuna alietapeliwa
Hizo mali za Ontario mkuu?Achana na ile BMW 0 km, hivi majuzi mshkaji kavuta apartment mpya huko kwa Madiba.
Hela ndogo ndogo za maskini ndio zinaletaga utajiri...muulize Mo au Bakhresa kama walishapiga hela za matajiri? Wanapigaga hizi ndogo ndogo za maskini.
Heko mentor mwenye panki kama shabaranksi.View attachment 777029
Umeanza [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]haaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaa
Yani nina hasira sana aisee na haka kathe bold... kalikuwa kanatusimulia vistori vyake humu vya uongo na kweli kumbe daaaahhh...
Nasikia bhana kamejichotea milioni 50 na ka ontario nako kamechota 50 na awilo 50 alafu vimejifanya kutengeneza mgogoro wa uongo na kweli kutuzuga.
Yani haka kathe bold siamini kama kweli kamefanya hivi?? Hivi kamepatwa na nini haka kathe bold??
Hahah huyo jamaa atakua anajuta kukujua aisee,hahahNakumbuka vyema madame "" na miongoni ya hao clients nihuyu hapa... CCNP Engineer ...kuna Uzi aliufungua akawa anasema kuwa kwa siku moja alikuwa anaingiza Ml.1""" hahaa majuzi kati kaja nauzi anaomba ushauri Anataka akope million 5 " kisha aache kazi akafanye biashara "" hahaa...yaani mtu anayeingiza..ml.1 per day kumbe hata ml.5 bado inamtoa jasho la makalio
Best tafadhali katupostie basi hata kapicha pamoja kakulalia kule kwenye jukwaa letu pendwa? Watu tunataka tuanze kula chakula cha wanaume now...we need appetizer bhana.ila forex hainaa utapeli yataka akili kubwa kufanya shida yaa watz kujifanya wanajua kumbe hawajui hapo tmt hakuna alietapeliwa
Rahisi gharama. Ukiona unaitiwa fursa ujuwe wewe ndiyo fursa. Wajinga ndio waliwao. Kazi ndiyo njia pekee ya kupata kipato.
Shiiiiiii!!! Usiseme kwa nguvu!Hizo mali za Ontario mkuu?