Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Hata nikikufundisha umeshalishwa sumu kuwa forex ni utapeli wakati watu wanapiga pesa, NAKUHAKIKISHIA kwenye FOREX wakati natoka mwenge to posta foleni ile mimi naingiza usd 30 kila siku sina presha na mtu.
Nifundishe
 
Mtu alie smart na mtulivu kwenye forex atapiga pesa sana sana sana sana, wengi waliokua wanamponda jamaa leo watapata pa kusemea na kupiga kelele ili hali bado wako vile vile

usd 30 kwa kila siku na unavuta mpunga wako mpesa kama una familia huli, hununui umeme, hupati nauli ya watoto shule?? mshahara wako ukabaki palepale?? matatizo ya watu yasifanye forex kuonekana ni utapeli, kama umefundisha changanya na akili zako utembee mbele

AS always say, i will put my last cent on Forex ....
Possible but not easy job...
 
Niko kwenye group la TMT hiyo imewekwa na Createn ambaye amebaki kama Director,

Inavyo onesha jamaa kabeba mgao wake
Kama kiasi gani kabeba? Na kama TMT si kuna shareholders na kwanini awe signatory pekee yake?
 
Kila Siku tulikuwa Tunasema "MONTREAL" na "THE ITALIC" ni Matapeli,Jamaa Wajanja wajanja,Hawa Mabwana Wadogo inakuwaje wanawaingiza Mjini watu wazima na MIMBUPU yao? Hawa Jamaa ni Matapeli wa mitandao,Jamaa ni Scammers(Conmen).

Hakuna fedha za haraka haraka ,Nilikuwa napingana sana na "The Italic" na Story zake humu ili kuwapiga ganzi mazwazwa ili siku akija na deal lake la utapeli Manyumbu yawe yamesinzia yasizinduke,Ukiona mtu anatumia nguvu nyingi kukushawishi hii deal sijui ina hela stuka hapo wewe ndio mtaji wake,binadamu tuna roho ya ubinafsi hatuwezi kukwambia deal kama linalipa utataka kulipiga wewe,ukiona unastuliwa kuna deal basi hapo ingia na macho ya kaa(yaani weka shaka kwamba unapigwa so usiingie mzima mzima).

"The Italic" na "Montreal" ni MATAPELI,Kwa mtu Zwazwa hawezi kustukia utapeli wao ila kwa watu makini on the spot tu anajua kwamba ni Matapeli,since day one hawa jamaa nilikuwa napingana nao....The Italic na Montreal walikuwa Pamoja kitambo wanawapiga watu humu sema hivi karibuni ndio The italic akaja kumsifia live Montreal kwenye sredi ya kimbwiga.
 
ila forex hainaa utapeli yataka akili kubwa kufanya shida yaa watz kujifanya wanajua kumbe hawajui hapo tmt hakuna alietapeliwa
Sasa hivi unaongea bila ushabiki kidogo nakuelewa....

Hata mimi najua forex is real tatizo lilikuwa ni Jp market....
 
Yani nina hasira sana aisee na haka kathe bold... kalikuwa kanatusimulia vistori vyake humu vya uongo na kweli kumbe daaaahhh...
Nasikia bhana kamejichotea milioni 50 na ka ontario nako kamechota 50 na awilo 50 alafu vimejifanya kutengeneza mgogoro wa uongo na kweli kutuzuga.

Yani haka kathe bold siamini kama kweli kamefanya hivi?? Hivi kamepatwa na nini haka kathe bold??

Nilidhani ingekuwa busara kuja kueleza ni kwa jinsi gani huhusiki, ila kuja na kauli za kejeli za namna hii siyo fair kwa walio umizwa na TMT.

Busara ni kitu kidogo sana mdogo wangu.
 
Nakumbuka vyema madame "" na miongoni ya hao clients nihuyu hapa... CCNP Engineer ...kuna Uzi aliufungua akawa anasema kuwa kwa siku moja alikuwa anaingiza Ml.1""" hahaa majuzi kati kaja nauzi anaomba ushauri Anataka akope million 5 " kisha aache kazi akafanye biashara "" hahaa...yaani mtu anayeingiza..ml.1 per day kumbe hata ml.5 bado inamtoa jasho la makalio
Hahah huyo jamaa atakua anajuta kukujua aisee,hahah
 
ila forex hainaa utapeli yataka akili kubwa kufanya shida yaa watz kujifanya wanajua kumbe hawajui hapo tmt hakuna alietapeliwa
Best tafadhali katupostie basi hata kapicha pamoja kakulalia kule kwenye jukwaa letu pendwa? Watu tunataka tuanze kula chakula cha wanaume now...we need appetizer bhana.

Afu siku hizi umekuwa matured enough.. Intelligence is sexy.

Niko kanombe!
 
Back
Top Bottom