Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kuna watu wamepinga hii circle plan

Nilizungumzia watu wanne, lakn nafs moja ikiplay two parts(Crea & createn)

Ontario got skills from createn, na alivyoanza movements aliomba tafu kwa createn baada ya kuafikiana akaja kuandaa mazingira jamiiforum
Createn anakuja bongo kama crea, weng hawakujua kama ndio man alieanzsha hii harakat kwa Ontario walijua Ontario kamuajir yeye pamoja na rea

Crea alikua ni mbovu sana kwenye kutoa indicators kias cha kwamba weng walikua wanapata loss(yan mtu aliemfundsha Ontario anakua mbovu??)

Crea alikua anavujsha siri za kupishana kiswahil kwa kampun (like walikua wanaish kwa short-term kick kuaminsha watu kama wapo nao pamoja sana)

Crea alikua hawez kukubal amaintain constant profit flow at the same time akisimama kama createn(jp market broker) ana get loss

After a long period of time baada ya watu kupasuka sana crea anakuja na drama hii "JP market n mbaya coz n market maker" apo alisimama as a crea sio createn[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Rea alikua anatumia lugha ya ulimi na kuinspire watu juu ya morden life end how you can survive like white people do. Kama mlifatilia Uzi wa HUMBLE alishawai andika jamaa is true man na sfa nyng
Kaz ya rea ilikua kusoften mind tu

Nimejarbu kuconect mistar ya latitude na longitude kupata raman kamil lakn bado mstar wa ikweta na prime meridian naikosa kukamilsha tukio zima

Kama mwanamke akiandaliwa vzur inakua ngumu kuamin kama ndan ya dakk2 wazungu hao, ndio all victims wa TMT mmeandaliwa muda mrefu so inakua ngum kuamin kama mmepigwa, mnapigwa na mtapigwa ad mfike peak the kilimanjaro
We nawe piga kimya bhana hujui unaloliandika wala hujui lolote kuhusu forex, unajua maana ya indicator inavyotumika kwenye forex?
 
rudini mzigoni men alone mshafundishwa kusimama
Yeyote anaeendelea kupiga domo na lawama hana tofauti na wasiojielewa.

Kama watu mmepigwa tena kwa uzembe wenu kwa sababu mlionywa mno, inabidi mchukue hatua za kisheria ingawaje mimi naona ni vigumu mno kuwatia hatiani TMT. Cha msingi inukeni na pigeni kazi.

Ninaamini kuna mambo mengi mmejifunza.

No free launch, Pigeni kazi. Kuweni na ndoto za kuwa free trader na sio kuwa trader wa kutegemea Signals lazima mtaendelea kulia mpaka mwisho wa dunia hii.

Tusome Tusome Tusome Tusome.

Mimi sijawahi kutrade na Jp Markets na wala sipo TmT ila hii saga imeniongezea mafunzo meeeeengi mno, nawashukuru sAna.

Nawashauri acheni kulalamika endlessly. Kuweni wanaume, forget. Kama kweli wewe ni well trained trader ninaamini within few months mungu atasaidia mtafika sehemu nzuri.
 
Ijumaa nimepiga $850 Dow Jones Industrial Average Futures on NADEX.

Wiki hii naangalia upepo nianze upya.

Sitaki ujinga wa kushikiwa akili na mtu mimi.
Mkuu na sisi tuje tufungue kampuni ya kufundisha watu kutredi kene stock ekchengi,nazdak,tutapata vichwa.

Jokes aside hivi kuna uwezekano mie nlie huku nanjilinji nikawa trader huko wall street?
 
Ijumaa nimepiga $850 Dow Jones Industrial Average Futures on NADEX.

Wiki hii naangalia upepo nianze upya.

Sitaki ujinga wa kushikiwa akili na mtu mimi.
Mkuu hivi nadex anapatikana bongo??? Nimechoka na hawa wack brokers kama templer ni majanga.
 
Mkuu na sisi tuje tufungue kampuni ya kufundisha watu kutredi kene stock ekchengi,nazdak,tutapata vichwa.

Jokes aside hivi kuna uwezekano mie nlie huku nanjilinji nikawa trader huko wall street?
Ni wewe tu, Wall St. yote iko mtandaoni tu, unatakiwa uwe na account zinazoweza kutumana kupokea hela kwenye mitandao ya kimataifa tu.

Zaidi ya hapo, ogopa matapeli.
 
Mkuu hivi nadex anapatikana bongo??? Nimechoka na hawa wack brokers kama templer ni majanga.
Last timeI checked NADEX ilikuwa haijawana option ya Bongo.

NADEX ianondoa headaches za brokers uchwara, unapiga trades kwa uhakika wa kitu kilichokuwa regulated na Securities and Exchanges Commission.

Huko kuna mbwa wamefundishwa hata wakisikiabroker katafuna ugoro saa za kazi watamparamia na kumuhoji kwa nini katafuna ugoro saa za kazi? Sembuse kuiba hela za watu na kukimbia.

NADEX trades zao ukipoteza helautaona kabisa hapa nilikosea kutabiri movements za currencies, markets,unaona kabisa ni market movement ndizo zimesababisha,siujinga wa brokers.

Bahati mbaya sana Tanzania haipo katika list ya nchi ambayo NADEX wanaruhusiwa kufanya biashara.
 
Ni wewe tu, Wall St. yote iko mtandaoni tu, unatakiwa uwe na account zinazoweza kutumana kupokea hela kwenye mitandao ya kimataifa tu.

Zaidi ya hapo, ogopa matapeli.
Aah poa mkuu ngoja nianze kujifua mpaka mwakani ntakuwa nimekwiva.

Kuhusu matapeli aisee kwangu hawafui dafu,mie labda nidhulumiwe na mtu nayemjua,kutapeliwa labda na ndumba,nilikozaliwa na kukulia ndiko kunakosifika kwa kutoa matapeli nguli hapa Tanzania.
 
Last timeI checked NADEX ilikuwa haijawana option ya Bongo.

NADEX ianondoa headaches za brokers uchwara, unapiga trades kwa uhakika wa kitu kilichokuwa regulated na Securities and Exchanges Commission.

Huko kuna mbwa wamefundishwa hata wakisikiabroker katafuna ugoro saa za kazi watamparamia na kumuhoji kwa nini katafuna ugoro saa za kazi? Sembuse kuiba hela za watu na kukimbia.

NADEX trades zao ukipoteza helautaona kabisa hapa nilikosea kutabiri movements za currencies, markets,unaona kabisa ni market movement ndizo zimesababisha,siujinga wa brokers.

Bahati mbaya sana Tanzania haipo katika list ya nchi ambayo NADEX wanaruhusiwa kufanya biashara.
Asante sana ila ipo siku patachimbika na hawa broker uchwara.
 
Jamani huu uzi siyo wa show off za mapenzi, Ujinga wenu pelekeni MMU! Mnachafua huu uzi
Nilijibu swali husika nadhani hata that lady keshanielewa ndomana nimeshukuru na kuendelea na yangu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] au umeona nimeendeleza dialogue???

Have a good time and adios [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom