Kuna watu wamepinga hii circle plan
Nilizungumzia watu wanne, lakn nafs moja ikiplay two parts(Crea & createn)
Ontario got skills from createn, na alivyoanza movements aliomba tafu kwa createn baada ya kuafikiana akaja kuandaa mazingira jamiiforum
Createn anakuja bongo kama crea, weng hawakujua kama ndio man alieanzsha hii harakat kwa Ontario walijua Ontario kamuajir yeye pamoja na rea
Crea alikua ni mbovu sana kwenye kutoa indicators kias cha kwamba weng walikua wanapata loss(yan mtu aliemfundsha Ontario anakua mbovu??)
Crea alikua anavujsha siri za kupishana kiswahil kwa kampun (like walikua wanaish kwa short-term kick kuaminsha watu kama wapo nao pamoja sana)
Crea alikua hawez kukubal amaintain constant profit flow at the same time akisimama kama createn(jp market broker) ana get loss
After a long period of time baada ya watu kupasuka sana crea anakuja na drama hii "JP market n mbaya coz n market maker" apo alisimama as a crea sio createn[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Rea alikua anatumia lugha ya ulimi na kuinspire watu juu ya morden life end how you can survive like white people do. Kama mlifatilia Uzi wa
HUMBLE alishawai andika jamaa is true man na sfa nyng
Kaz ya rea ilikua kusoften mind tu
Nimejarbu kuconect mistar ya latitude na longitude kupata raman kamil lakn bado mstar wa ikweta na prime meridian naikosa kukamilsha tukio zima
Kama mwanamke akiandaliwa vzur inakua ngumu kuamin kama ndan ya dakk2 wazungu hao, ndio all victims wa TMT mmeandaliwa muda mrefu so inakua ngum kuamin kama mmepigwa, mnapigwa na mtapigwa ad mfike peak the kilimanjaro