Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Wangeweka ushahidi,,pia wale wanaoenda darasan kusoma kwa ontario wangesema pia kwanini wasemee pm ina maana wanamuogopa ontario ama?
Si ndo hapo waliowahi kutapeliwa hapa jf wamewaanika wezi wao na wengine wamewakamata kabisa.

Sasa kama kuna aliyetapeliwa kwanini washindwe kusimamia ukweli wao ?

Naona harufu ya Dar forex Academy

Wanahakikisha wanamchafua jamaa wanavyoweza
 

Muhuni wa mtaani kwa kua hujui kusolve log

Sipo kushindana na wewe, shindana na mwalimu wangu alienifundisha fursa ya FOREX
 
mjinga wewe ningekuonesha mtaani tunavyosaka hela kwa jasho sio bla bla eti laki 2 faida kwa saa... unaijua laki mbili wewe kwa saa wewe...

watu under 30 tu ila tuna drive,tuna familia, tunasomesha, tunajenga, tuna biashara ndogo ndogo za jashoooo...

sio dume zima kama demu unajivunia mafanikio ya mwalimu wako... jivunie vya kwako...

na hayo mafanikio ya uliyemtaja mnamchangia nyie mazuzu ada zenu hizo... yeye haziweki forex anaenda ziwekezea kwenye real business zinazo solve real problems kama kilimo...

njoo nikufundishe hata kuprint tshirt bure ukajikomboe bwege wewe... usipende pesa za kufikirika...

toka jasho upate hela hata ukishushia na bia yako baada ya kazi nayo inakuwa inavuja jasho


Muhuni wa mtaani kwa kua hujui kusolve log

Sipo kushindana na wewe, shindana na mwalimu wangu alienifundisha fursa ya FOREX
 
Weee jamaa unauzi na kauri zako zakizezeta sasa mtu anayefanya Forex anapata hera kwa jasho lako au usiongee upuuzi jamaa arafu kuorodhesha shughuri zako uwo ni ushamba kwani nani aliyesema kuwa anaefanya Forex ajishughurishi na shughuri nyingine uko ni kufikiria kama mnyoo je ada amawaripia nani ya mafunzo na je pesa ya kuishi week mzima kwenye mafunzo vitu vingine mfikirie sio kuandika andika tu kama uwezi Forex kaa kimya arafu ujaambiwa kwamba Forex ni kwa kila mtu

Forex for talented people
 

Moyo utakuchoma sana na utakufa kwa wivu? unajisifia familia, unajisifia kuprinti tsht ambazo naweza kujifunza youtube, unajisifia biashara ndogondogo ambazo hata mimi nafanya

mimi najisifia degree ambayo mpaka unakufa huwezi kuipata, najua ulisoma ila F F F F unazo za kutosha koo kaa pembeni
 
achana nae nyumbu huyo.. anaona watu mazuzu.. ndugu zake maskini na yeye mwenyewe maskini mimi nimejitolea tushindane nae maisha jina halisi nalitaja na tuonane tunapoishi na mali tunazomiliki... nani kamzidi mwenzake...

anafikiri watu mazuzu humu
Huna unachomiliki zaidi ya watoto ambao hamkufuata family planing na mkeo
 
Uyo sio Ontario jamaa namjua niko nae group moja la Forex tunapiga Hera sasa kinachoshangaza watu mwenyewe wanaoifanya Forex awararamiki lakini wengine wasiohusika ndio wanararamika sasa hii kitu mbona aingii kichwani
Hebu ni add huko chap
 
Ole wako uonyeshe magitaa ya kwaya kama asset zako utatukoma wenye hasira kali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…