Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Si ndo hapo waliowahi kutapeliwa hapa jf wamewaanika wezi wao na wengine wamewakamata kabisa.Wangeweka ushahidi,,pia wale wanaoenda darasan kusoma kwa ontario wangesema pia kwanini wasemee pm ina maana wanamuogopa ontario ama?
Sasa kama kuna aliyetapeliwa kwanini washindwe kusimamia ukweli wao ?
Naona harufu ya Dar forex Academy
Wanahakikisha wanamchafua jamaa wanavyoweza