ONYO kwa akina dada wote kuhusu huduma ya kukuza makalio itakayoanza kutolewa Mloganzila

Mkuu,

Kwanza nikiri uzi wako umejaa kejeli na dhihaka kwa Madaktari wa Kitanzania. Umetutusi na kutuona hatuna tunachokijua.

Pili, katika kushibisha hoja yako umetanabaisha mifano kadhaa ya makosa yaliyofanyika hapo nyuma. Yalikosa ni makosa yasiyovumilika, lakini ulipaswa kulinganisha takwimu zako na makosa.

Je, una visa vingapi vya wagonjwa kuachiwa mikasi na visu tumboni? Je, ni wagonjwa wangapi walifanyiwa upasuaji kwa mafanikio? Linganisha ili tuweze kuona risky ya kupata huduma kwa wagonjwa wetu.

Binadamu tunajisahau sana. Nadhani ni hulka tuliyoumbwa nayo. Mazuri mengi na upasuaji zilizofanyika kwa mafanikio makubwa, yote yanapuuziwa. Na badala yake vinakumbukwa visa vichache sana vilivyotokea.

Swala la Mafuta kule Morogoro unawalaumu madaktari bure. Wengi waliungua kwa asilimia kubwa sana. Hata hivyo, kuna waliookolewa. Hapa ulifurahisha jukwaa.

Lakini, ukisoma taarifa ya hospital ya Mloganzila wamesema wazi kuwa upasuaji huo utafanywa na Madaktari wazawa wakiongozwa na Daktari Bingwa wa upasuaji rekebishi, Dr Mokhit Bhandari kutoka India.

Maana yake ni kuwa wataalam wetu wa upasuaji watakuwa wakiongozwa na huyo Daktari kutoka India. Hivyo kama huwaamini wataalamu wetu, nenda kwa hao mnakokimbiliaga.

Unachopaswa kufahamu ni kuwa, hata katika hospital hizo na kwa wataalam hao, siyo upasuaji zote zinakuwa na mafanikio. Ila kwa sababu umekaza ubongo, huwezi kuelewa.

Acha kejeli za kipumbavu.
Mkuu,
Umeongea ukweli kwa upande wako, ila kama zilivyo kada zingine hapa nchini, mambo mengi yanafanyika chini ya kiwango either kwa kupanga au uwezo duni, na madaktari hawawekwi nyuma katika hili.

Nchi hii negligence ni tatizo sugu, tukiweza kudhibiti hilo hali inaweza kubadilika.
 
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza??

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Umenifanya machozi yanilenge lenge mkewangu alijifungua kwa kisu miaka 6 iliopita lakini mikono na miguu aifanyi kazi vizuli ganzi,watu weusi alie tuloga alisha kufa jamani
 
uzi tayari
uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania..

mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.

Ajali ya Moto .. Mtu akisha ungua 80% ya mwili , hata india huko uwezekano wa kupona ni mdogo.. lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona.

Kupasua kichwa badala ya goti. issue ilisha kuwa solved kitambo.. siyo kosa la daktari.. ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo.

Mbona husemi kuhusu kupona kwa prof J, na wagonjwa wengine mahututi,
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi..

licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu na kufanya kazi under pressure ya kisiasa Madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana..

Kuhusu hizo operation -
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India
- Ukiona wame amua kufanya hivo, basi ujue wameji ridhisha , na wataalamu wanaweza.
hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa

ni rahis kubwabwaja hapa.. ila siku yaki kufika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu.. na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Nenda kwa masawe hapo jirani kapate pepsi baridi.
 
cha msingi nikikaa siumii hivyo hizi 'calio' zangu zinanitosha tu tena zaidi ya sana na kila siku nampa Mungu sifa na utukufu kwa uumbaji wake uliotukuka..!!

'If you don't know who you are, everyone will tell you their clear idea of how you're meant to be', but to each their own..!!
Uko na picha tuone?
 
uzi tayari
uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania..

mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.

Ajali ya Moto .. Mtu akisha ungua 80% ya mwili , hata india huko uwezekano wa kupona ni mdogo.. lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona.

Kupasua kichwa badala ya goti. issue ilisha kuwa solved kitambo.. siyo kosa la daktari.. ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo.

Mbona husemi kuhusu kupona kwa prof J, na wagonjwa wengine mahututi,
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi..

licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu na kufanya kazi under pressure ya kisiasa Madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana..

Kuhusu hizo operation -
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India
- Ukiona wame amua kufanya hivo, basi ujue wameji ridhisha , na wataalamu wanaweza.
hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa

ni rahis kubwabwaja hapa.. ila siku yaki kufika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu.. na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Nabii hakubaliki nyumbani kwake.
Humu wajuaji na wenye kejeli ni wengi.
Wamesema vizuri kwenye Ile taaarifa upasuaji utaongozwa na daktari flani mgeni. Jina lake wamelitaja kabisa.

Watu wamefany a upasuaji wa moyo na kichwa utakuwa huu wa urembo?
 
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza??

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Chunga Tako lako.
 
Umenifanya machozi yanilenge lenge mkewangu alijifungua kwa kisu miaka 6 iliopita lakini mikono na miguu aifanyi kazi vizuli ganzi,watu weusi alie tuloga alisha kufa jamani
Yaani "madaktari" wa nchi hii wanapswa kuwa jela wote. Nawaita "madaktari" kwenye inverted commas, kwasabb hawana utaalamu wa udaktati hivyo wameua watu wengi sana.

Visa vya kina mama kuoza miguu na mikono kwasabb tu ya utaalamu feki wa hao wanaojiita madaktari. Inauma sana.
 
Nabii hakubaliki nyumbani kwake.
Humu wajuaji na wenye kejeli ni wengi.
Wamesema vizuri kwenye Ile taaarifa upasuaji utaongozwa na daktari flani mgeni. Jina lake wamelitaja kabisa.

Watu wamefany a upasuaji wa moyo na kichwa utakuwa huu wa urembo?
Mxiuuuu!!
 
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?

Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza??

Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??

Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).

Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Pongezi umeona mbali
 
Back
Top Bottom