Ceftriaxon
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 446
- 692
Siku upate tumbo la kuhara damu+corona ndio utajua umuhimu wa hawa watu unaowaita vilaza...yaweza kua unawaita vilaza wamekuzidi kila kitu.Madaktari wengi wa Tanzania kama walivyo wataalam wa sekta karibu zote ni vilaza. Ndiyo maana wenye fedha wanaenda nje. Kupelekwa kutibiwa nao siyo hoja na hata akiwasifu haiwafanyi wawe wazuri.
Ufahamu wako mdogo sana,unajua mtu akiungua sababu kubwa ya kifo chake hua ni nini?acha ujuaji...hao unaowaponda utumbo ukifunga utawakimbilia wakupasue,...lakin umekaa nyuma ya keyboard unajifanya hero kuponda watu ambao wanafanya kazi kubwa kuokoa uhai wa watu tena wakati mwingine wana risk maisha yao...wewe ni mjinga.Kusema walifungua kwa asilimia kubwa ni uwongo wa kuzimu. Watu wamekaa siku 3 Morogoro. Baadaye wakahamishiwa Muhimbili mkawalaza juu ya vitanda badala ya kuwaweka kwenye majokofu watu ambao ngozi (thermoregulator) imeharibiwa na moto. Hata hivyo huko Muhimbili walikaa zaidi ya wiki ndipo wakafa. Ni kukosa weledi. Mpo mpo tu.
Kama unaofanywa na wataalamu toka nje basi andikeni kuwa wataalamu toka nje watakuja Tanzania kukuza makalio. Msiiitaje Mloganzila ambayo huku uraiani inajukqna kama chinjachinja kwasabb ya udumavu wa ujuzi wa madaktari.
Amesema lilivuja wamelibinya zaidiWaliowekewa maputo wanaendeleaje kwani?
Thread closedUzi Tayari 😂😂
Uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania.
Mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.
Ajali ya moto
Mtu akisha ungua 80% ya mwili, hata India au Marekani huko uwezekano wa kupona ni mdogo, lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona kwa matibabu ya madaktari hao hao.
Kupasua kichwa badala ya goti.
Issue ilisha kuwa solved kitambo, tena jwa tume iliyoundwa na serikali. Halikuwa kosa la daktari. Ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo, wanaendelea na upasuaji kama kawa.
Mbona husemi kuhusu kupona kwa Prof. J na wagonjwa wengine mahututi ambao wameponea mikononi mwa madaktari hao hao?
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi? Hata watu maarufu kama Mufti na Askofu Ruwa 'ichi walipata changamoto na wakatibiwa hapa hapa.
Kila leo operations za moyo zina fanyika Muhimbili, na wagonjwa wana pona.
Licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu, na kufanya kazi under pressure za kisiasa (mfano issue ya kusema watoto na wazee bure, issue ya bima kwa watoto, issue ya kusema consultation fee ni hela ya kumuona daktari), madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana. Ukiangalia ranks za mishahara na nchi zingine za Afrika Mashariki, utagundua take-home za madokta Bongo ni dhaifu sana. Ndiyo maana mna wachukulia poa.
Facts.
Hata Kenya kuna baadhi ya vitu wanakuja kujifunza Tanzania, mfano Emergency medicine hawana kule kwao. Ila kuna Mtanzania wewe una negative attitude na vya kwenu.
Jiulize kwa nini Wasudan wameamua kuja Tanzania na siyo nchi nyingine? Kujifunza kwa hao hao madaktari unaosema vilaza?!
Malawi Zambia hawana kabisa vyuo vya madaktari wa meno. Wana kuja Bongo ku take notes.
Hospitali ya kanda ya Mbeya imepewa tuzo maalumu ukanda huu wa SADEC kwa kufanya vizuri kwenye Kaizen Five S. Mataifa mbalimbali wana kuja kujifunza. Wana jifunza kwa hao hao unao waita vilaza?!
Kuhusu hizo operation
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India.
Hii ni kawaida kufanya na wazoefu.
Ukiona wameamua kufanya hivyo, basi ujue kuna jopo lilisha tumwa kabla na wamejiridhisha na utaalamu wanaweza.
Bilashaka "watu wa system" wameridhia hii kitu. Wameona faida na madhara.
-Hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa.
Ni rahis kubwabwaja hapa. Ila siku yakifika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu. Na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Narudia. Wengi ni vilaza. Na wataalam wazuri wapo. Kama ni kuugua na kutibiwa basi nimeshatibiwa sana na madaktari wetu. Na nimeona wengi sana wakifanya matibabu ya ukilaza.Siku upate tumbo la kuhara damu+corona ndio utajua umuhimu wa hawa watu unaowaita vilaza...yaweza kua unawaita vilaza wamekuzidi kila kitu.
Daktari umejibu kwa uchungu sana pole sana!Uzi Tayari 😂😂
Uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania.
Mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.
Ajali ya moto
Mtu akisha ungua 80% ya mwili, hata India au Marekani huko uwezekano wa kupona ni mdogo, lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona kwa matibabu ya madaktari hao hao.
Kupasua kichwa badala ya goti.
Issue ilisha kuwa solved kitambo, tena jwa tume iliyoundwa na serikali. Halikuwa kosa la daktari. Ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo, wanaendelea na upasuaji kama kawa.
Mbona husemi kuhusu kupona kwa Prof. J na wagonjwa wengine mahututi ambao wameponea mikononi mwa madaktari hao hao?
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi? Hata watu maarufu kama Mufti na Askofu Ruwa 'ichi walipata changamoto na wakatibiwa hapa hapa.
Kila leo operations za moyo zina fanyika Muhimbili, na wagonjwa wana pona.
Licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu, na kufanya kazi under pressure za kisiasa (mfano issue ya kusema watoto na wazee bure, issue ya bima kwa watoto, issue ya kusema consultation fee ni hela ya kumuona daktari), madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana. Ukiangalia ranks za mishahara na nchi zingine za Afrika Mashariki, utagundua take-home za madokta Bongo ni dhaifu sana. Ndiyo maana mna wachukulia poa.
Facts.
Hata Kenya kuna baadhi ya vitu wanakuja kujifunza Tanzania, mfano Emergency medicine hawana kule kwao. Ila kuna Mtanzania wewe una negative attitude na vya kwenu.
Jiulize kwa nini Wasudan wameamua kuja Tanzania na siyo nchi nyingine? Kujifunza kwa hao hao madaktari unaosema vilaza?!
Malawi Zambia hawana kabisa vyuo vya madaktari wa meno. Wana kuja Bongo ku take notes.
Hospitali ya kanda ya Mbeya imepewa tuzo maalumu ukanda huu wa SADEC kwa kufanya vizuri kwenye Kaizen Five S. Mataifa mbalimbali wana kuja kujifunza. Wana jifunza kwa hao hao unao waita vilaza?!
Kuhusu hizo operation
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India.
Hii ni kawaida kufanya na wazoefu.
Ukiona wameamua kufanya hivyo, basi ujue kuna jopo lilisha tumwa kabla na wamejiridhisha na utaalamu wanaweza.
Bilashaka "watu wa system" wameridhia hii kitu. Wameona faida na madhara.
-Hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa.
Ni rahis kubwabwaja hapa. Ila siku yakifika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu. Na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Ngoja Tako Moja lifike kwenye goti ,lingine kwenye mbavu ndio wataelewa.Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza??
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Bingwa wa mifupa huyu prof very humble guyHajui huyu tunavoumia Muhas. Na course work za prof kahamba
Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza??
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
Nimeangalia ID zilizo like hii reply. Ni mawili kuwa umejibu kitaalam zaidi ama waTz tunapenda hizi operation zifanyike hapa hapa nchini.Uzi Tayari [emoji23][emoji23]
Uzi wako wa ujumla wake una kejeli taaluma ya udaktari na madaktari wa Tanzania.
Mapungufu unayosema yanaonesha jinsi gani una chuki binafsi.
Ajali ya moto
Mtu akisha ungua 80% ya mwili, hata India au Marekani huko uwezekano wa kupona ni mdogo, lakini pia kwenye hiyo ajali wapo walio pona kwa matibabu ya madaktari hao hao.
Kupasua kichwa badala ya goti.
Issue ilisha kuwa solved kitambo, tena jwa tume iliyoundwa na serikali. Halikuwa kosa la daktari. Ndiyo maana hao madaktari wapo kazini hadi hivi leo, wanaendelea na upasuaji kama kawa.
Mbona husemi kuhusu kupona kwa Prof. J na wagonjwa wengine mahututi ambao wameponea mikononi mwa madaktari hao hao?
Mbona husemi kupona kwa yule jamaa alipata ajali ya mwendokasi? Hata watu maarufu kama Mufti na Askofu Ruwa 'ichi walipata changamoto na wakatibiwa hapa hapa.
Kila leo operations za moyo zina fanyika Muhimbili, na wagonjwa wana pona.
Licha ya mazingira magumu, na posho kiduchu, na kufanya kazi under pressure za kisiasa (mfano issue ya kusema watoto na wazee bure, issue ya bima kwa watoto, issue ya kusema consultation fee ni hela ya kumuona daktari), madaktari wa Tanzania wana jitahidi sana. Ukiangalia ranks za mishahara na nchi zingine za Afrika Mashariki, utagundua take-home za madokta Bongo ni dhaifu sana. Ndiyo maana mna wachukulia poa.
Facts.
Hata Kenya kuna baadhi ya vitu wanakuja kujifunza Tanzania, mfano Emergency medicine hawana kule kwao. Ila kuna Mtanzania wewe una negative attitude na vya kwenu.
Jiulize kwa nini Wasudan wameamua kuja Tanzania na siyo nchi nyingine? Kujifunza kwa hao hao madaktari unaosema vilaza?!
Malawi Zambia hawana kabisa vyuo vya madaktari wa meno. Wana kuja Bongo ku take notes.
Hospitali ya kanda ya Mbeya imepewa tuzo maalumu ukanda huu wa SADEC kwa kufanya vizuri kwenye Kaizen Five S. Mataifa mbalimbali wana kuja kujifunza. Wana jifunza kwa hao hao unao waita vilaza?!
Kuhusu hizo operation
-Kwanza kwa kuanzia watakuwa na madaktari kutoka India.
Hii ni kawaida kufanya na wazoefu.
Ukiona wameamua kufanya hivyo, basi ujue kuna jopo lilisha tumwa kabla na wamejiridhisha na utaalamu wanaweza.
Bilashaka "watu wa system" wameridhia hii kitu. Wameona faida na madhara.
-Hakuna daktari anayefurahia kufanya kitu kika mdhuru mgonjwa.
Ni rahis kubwabwaja hapa. Ila siku yakifika utapelekwa kwa hao hao madaktari unao wakashfu. Na utakuwa unawasikiliza kwa kila kitu.
Wanaofanya sio wao wanakuja wataalam kutoka nje ya nchi wanawafundisha mpaka wapate uzoefu wakutosha ndio watawaachia watanzani.Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama anayejifungua kwa operesheni na kusababisha miguu na mikono kuoza?
Hawa hawa walioshindwa kuwaokoa majeruhi wa ajali ya moto ya Msamvu mpaka wakafa wote? Hawa hawa wanaopasua utumbo mpana wakati mgonjwa anaumwa appendicitis??
Mloganzila wataleta maafa makubwa kwa akina dada ktk huduma yao hii mpya ya kukuza makalio. Mpaka leo kule Uingereza huduma hii Ina 67% ya kufanyika vizuri (operesheni 33% za huduma hii huleta madhara huko Uingereza).
Chonde chonde akina dada mtaoza makalio.
hata ujichanue vipi, wanaume hawaridhiki, ni kama kunguru, unampa chakula kizuri anacha anakwenda kula mzoga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Ila wanaume eti wanawatisha Sasa...
Hawajui wanachotaka...