Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Wapumbavu sana..mi ukiniomba jicho na mapenzi yataishia hapo.
 
Wapumbavu sana..mi ukiniomba jicho na mapenzi yataishia hapo.

Kuna wadada bila kukupa jicho anaona kama hakuna mapenzi... nenda mitaa ya jiji ya Dar es Salaam fanya utafiti.... kwa wale tuliokuwa tunatembea na Watoto wa kike wa uswahilini tunaelewa hii kitu yaani balaa..
Ila Hongera sana kwa msimamo wako @Christina George
 
Kadri miaka inavyokwenda na ndio waoaji wanavyozidi kupungua, walaji jicho/waliwa jicho wanazidi kuongezeka, cha kusikitisha zaidi walaji wa jicho hawataki kuwaoa waliwa jicho.

Tumuombe sana Mungu kwa kweli.​

Lakini wewe unaemla mwenzio jicho unategemea nani aoe mliwa jicho? Na wewe ulieliwa jicho kwanini utake kuolewa na asiekula jicho? Hebu jiulize kwanini mla jicho hataki kuoa alieliwa jicho?

Yatupasa kubadilika, kuna vitendo ni kinyume na utu na ubinadamu. Lakini pia tukumbuke[emoji116][emoji116]
1. Wema hauozi
2. Ubaya hausahauliki
3. Mlipaji yuko hai daima

*Ukifanya jema au baya, malipo ni hapa hapa duniani.
 
Heshima kwenu wakubwa na wadogo

Nina mpenzi wangu ambae nimedumu nae kwenye mahusiano yapata mwaka sasa.Siku za hivi karibuni ameanza kuniogopesha baada ya kukiri kwamba anataka anipe mkund* nijilie.

Binafsi sio muumini wa mambo ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile mana toka nizaliwe sijawahi kutamani kufanya mapenzi na mwanamke kwa kutumia mlango wa pili na ndio maana kauli yale imenishangaza kiasi flani.

Nilimuuliza je ushawahi kufanya mapenzi kinyume na maumbile kasema hapana sasa nikamwambia mbona huogopi akasema anaogopa ila anataka nijaribu kumfanya nyuma mana anaona mitandaoni wanawake wakihadithia kwamna ule mchezo ni mtamu so anataka mimi nimuingilie ili aone kama ni kweli kinachosemekana.

Binafsi nimemuelezea baadhi ya athari za kufanya mapenzi kinyume na maumbile mfano kupata tabu wakati wa kujifungua, kupata magonjwa ya zinaa kirahisi ikiwemo HIV ila tatizo lake anapenda sana kuangalia Anal Sex kitu kinachompelekea kuzidi kutamani kushiriki mapenzi ya namna hiyo.

Imefikia wakiti nimehisi huenda alishawahi kufanya siku za nyuma ila hataki kunambia ukweli kwa kuhisi huenda nitamuacha mana anajua kabisa kwamba mimi sio muumini wa masuala hayo ya kishetani.

Nawaza kumuacha huyu mwanamke ili apate mpenzi mwingine atakae kubali kushiriki nae tendo kinyume na maumbile

Je, nikimuacha nitakua nimefanya maamuzi sahihi au nimpe muda nione kama atajirekebisha na kuachana na mawazo hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…