Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Namba yake iko wapi?
 
unavyosema huko nyuma ni kwa shetan. unamaanisha mbele ni kwa malaika au. mzee acha zinaa
 
Kumbuka tuu ya kwamba "JAMBO USILOLIWEZA WEWE WENZAKO WANALIWEZA" pole sana kwa kukosa maamuzi kwenye jambo kama hilo,
Yaani kumuacha hauwezi, kumtendea pia hauwezi. Pole saana.
 
Tatizo warembo wengi wanapenda hii kitu siku hizi asipoipata nyumbani ataitafuta kokote kule ili tu asipitwe na utamu.
ni kweli kiongozi hali kwa sasa imekuwa mbaya sana,lakini hali kubadilika haipaswi kuwafanya hata wale ambao hawajawahi kufanya huo mchezo na wanaamini ni dhambi hata mbele za muumba wafanye tu limradi kumridhisha mtu mzima mwenye akili na maamuzi yake

kiufupi tujitahidi tusiruhusu tamaa za mtu mwingine zitushawishi tufanye jambo ambalo ni kinyume na Imani na dhamiri yetu,kama Imani yako na dhamiri yako vimegoma kabisa kuona kuwa mchezo huo ni kitu cha kawaida tu na cha kustareheshana katika mapenzi,basi isikilize ile sauti yako ya ndani na sio kutaka kumridhisha mtu kwa kuogopa kumpoteza kwa wengine ambao Imani na dhamiri zao haziwashtaki

na pia kuomba sana kwa Mungu atupe wenzi wema ambao hawafikirii kushiriki matendo ambayo ni kinyume na asili,kuwa makini na uchaguzi wetu wa wenzi ili tusiangukie katika mikono hatari.
 
Ukatili ni ujambazi na wizi uliojaa kila mtaa hapa Dar, mngeanza kukemea hayo wakuu
kiongozi siku binti zako au dada zako wakifanyiwa hayo mambo na ujue hilo ndo uje useme hapa kuwa huo sio ukatili nikuelewe vizuri kwa mifano iliyo hai ,vinginevyo bado nasimamia nilichokisema huo ni ukatili kama tu huo ukatili wa ujambazi na wizi hakuna tofauti kabisa
 
Maoni yako yapo biased sana
Na naomba yaendelee kuwa biased kama kupinga ukatili kama huo ndo definition ya bias

Na narudia tena kuwaambia wanawake na wasichana mwanaume alie na mapenzi ya dhati kamwe hawezi kukuomba ufanye kitu ambacho ni kinyume cha asili

Na mwanaume anayethubutu kumwomba mwanamke wake mchezo huo,hajiheshimu,hajitambui na hajui thamani yake kama mwanadamu ni ipi,ikiwa yeye hana vitu vyote hivyo kujielekea,anawezaje kukupa vitu ambavyo hata yeye kashindwa kujipa?

Ijueni thamani yenu wanawake na wasichana jipendeni,msipoteze utu wenu kwa jina la kumridhisha mtu ambaye hata muumba wetu ameshindwa kumridhisha,kampa kila kitu na njia nzuri tu za kujiridhisha kimapenzi ila anataka mpaka ambavyo havistahili.
 
Daah ndio keshaliwa tayari hvo... Pole sana mkuu

Ukisusa sie twala...

Alisikika Cholo muuza urembo akisema
 
Kuwa mwanaume braza, wewe ndio unaweza kumshape huyo msichana wako awe kama unavyotaka wewe, yeye anatamani ili aonje, ukitaka aonje ataonjwa iwe na wewe au la!, na ukitaka kumfuta hilo wazo kichwani mwake na kumfanya abaki kawaida na kutopenda hayo mambo kama wewe ulivyo pia ni wewe, simama kama mwanaume wakati wote, mtengeze msichana kuwa mke umtakaye!
 
Mbona unachuma dhambi ya kujitakia kwa kutonitumia namba ake PM??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…