Na naomba yaendelee kuwa biased kama kupinga ukatili kama huo ndo definition ya bias
Na narudia tena kuwaambia wanawake na wasichana mwanaume alie na mapenzi ya dhati kamwe hawezi kukuomba ufanye kitu ambacho ni kinyume cha asili
Na mwanaume anayethubutu kumwomba mwanamke wake mchezo huo,hajiheshimu,hajitambui na hajui thamani yake kama mwanadamu ni ipi,ikiwa yeye hana vitu vyote hivyo kujielekea,anawezaje kukupa vitu ambavyo hata yeye kashindwa kujipa?
Ijueni thamani yenu wanawake na wasichana jipendeni,msipoteze utu wenu kwa jina la kumridhisha mtu ambaye hata muumba wetu ameshindwa kumridhisha,kampa kila kitu na njia nzuri tu za kujiridhisha kimapenzi ila anataka mpaka ambavyo havistahili.