wamejifunza kwa baba zao, baba zao huanza na kuchomeka flash kwa nyuma , wanasema flash inabanwa vizuri na lazma usikie miziki yote,Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.
Hawezi kuacha, unafikiri mungu alipoamua kuangamiza sodoma na gomora ilikuaje ko huyu mtoa mada ni mzoefu wa aya mamboHapana usimlaani mkuu, ila muombee kwa Mungu amsamehe pia aache hiyo tabia na wengine wanaofanya hivyo Mungu awakomboe
Unaelewa maana ya utabiri huo na ni nani anayetajwa katika utabiri huu??Kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Na hao wafalme wa nchi, waliozini naye na kufanya anasa pamoja naye, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuungua kwake; wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.
Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;
Ufunuo wa Yohana 8: 3-11
Hawezi kuacha, unafikiri mungu alipoamua kuangamiza sodoma na gomora ilikuaje ko huyu mtoa mada ni mzoefu wa aya mambo
Malipo atayapata apa apa duniani
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Son of GambaUnaelewa maana ya utabiri huo na ni nani anayetajwa katika utabiri huu??
Kama unajua basi sawa, lakini kama hujui, basi siku ukijua utashangaa sana tena sana.
mungu[emoji777]=Mungu[emoji3514]Hawezi kuacha, unafikiri mungu alipoamua kuangamiza sodoma na gomora ilikuaje ko huyu mtoa mada ni mzoefu wa aya mambo
Malipo atayapata apa apa duniani
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
katika jina la yesu navunja izo kauli imeandikwa nayapitisha maovu ya baba zao na babu zao kizazi hadi kizazi kwa wale wanichukiao na nawapa neema kizazi adi kizazi kwa wale washikao sheria zangu.mungu[emoji777]=Mungu[emoji3514]
Sawa mkuu ila kukiombea kizazi chake kilaaniwe
siyo poa huwezi jua huenda hichohicho kizazi
ulichokilaani kikaja kuharibu na kizazi chako
#Yesu alituombea mema japokuwa tulimsulubisha sisi wenyewe#
Kwani Maandiko Matakatifu yanasemaje kuhusu Flash kuchomekwa nyuma ya redio?Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.
Je wamjua huyo "mwanamke" "Yezebeli" ni nani?Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.
Ufunuo wa Yohana 2: 20-23
Son of GambaJe wamjua huyo "mwanamke" "Yezebeli" ni nani?
Amini nakwambia ukijua maana ya maandiko hayo na utabiri huo hakika utashangaa sana tena sana.
Nikianza kukufafanulia hapa hao mods wataufunga huu uzi maana hawapendi mambo ya Dini.Tufahamishe wewe unayejua!
Kabanga, kuna mtu alitoa uzi wa malalamiko kuhusu wewe, akasema eti huwa unaandika neno moja tu.Inasikitisha....
Duuh demu nnaemfeel real siezi kumla jicho.......