Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.
wamejifunza kwa baba zao, baba zao huanza na kuchomeka flash kwa nyuma , wanasema flash inabanwa vizuri na lazma usikie miziki yote,
 
Kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.

Na hao wafalme wa nchi, waliozini naye na kufanya anasa pamoja naye, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuungua kwake; wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.
Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;

Ufunuo wa Yohana 8: 3-11
Unaelewa maana ya utabiri huo na ni nani anayetajwa katika utabiri huu??
Kama unajua basi sawa, lakini kama hujui, basi siku ukijua utashangaa sana tena sana.
 
Hawezi kuacha, unafikiri mungu alipoamua kuangamiza sodoma na gomora ilikuaje ko huyu mtoa mada ni mzoefu wa aya mambo

Malipo atayapata apa apa duniani

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app

Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, ..... naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.
Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.

Ufunuo wa Yohana 17: 3-5
 
Hawezi kuacha, unafikiri mungu alipoamua kuangamiza sodoma na gomora ilikuaje ko huyu mtoa mada ni mzoefu wa aya mambo

Malipo atayapata apa apa duniani

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
mungu[emoji777]=Mungu[emoji3514]

Sawa mkuu ila kukiombea kizazi chake kilaaniwe

siyo poa huwezi jua huenda hichohicho kizazi

ulichokilaani kikaja kuharibu na kizazi chako

#Yesu alituombea mema japokuwa tulimsulubisha sisi wenyewe#
 
Mziki unaotoka baada ya kuchomeka flash nyuma ya redio huwa ni wa kipekee, wacha tuendelee kuchomeka flash nyuma ya redio.
 
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.

Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.

Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;

nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.

Ufunuo wa Yohana 2: 20-23
 
mungu[emoji777]=Mungu[emoji3514]

Sawa mkuu ila kukiombea kizazi chake kilaaniwe

siyo poa huwezi jua huenda hichohicho kizazi

ulichokilaani kikaja kuharibu na kizazi chako

#Yesu alituombea mema japokuwa tulimsulubisha sisi wenyewe#
katika jina la yesu navunja izo kauli imeandikwa nayapitisha maovu ya baba zao na babu zao kizazi hadi kizazi kwa wale wanichukiao na nawapa neema kizazi adi kizazi kwa wale washikao sheria zangu.

Mavuno ya matendo yako yapo hapa hapa

Mda utaongea

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Sijui ni kwanini Wanawake wa Mikoa hii Tajwa ukibahatika Kukaa nao na Kusikiliza Mziki hata kama upande wa Mbele wa Redio hauna tatizo Wao watalazimisha tu na wanapenda kuichomoa ' Flash ' na kuichomokea kwa Nyuma ambapo hata hivyo pia kwa Sisi wapenda Mziki huwa tunapenda pia Mziki ukitokea huko huko kwani huwa ni Mtamu zaidi na hauchoshi Kuusikiliza.
Kwani Maandiko Matakatifu yanasemaje kuhusu Flash kuchomekwa nyuma ya redio?
Soma Warumi 1:26-27
"Hivyo MUNGU aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; wanaume nao hivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakayatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao".
Kisha malizia mwenyewe kwa kusoma, 1 Wakorintho 6:9.
 
Haya ndio madhara ya kutokuwa lindo, jitu linaamkia tu nyumbani linakosa pa kwenda linaanza kuonyesha upopoma wake hapa
Mfyuuuu jinga kbisa
 
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.

Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.

Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;

nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.

Ufunuo wa Yohana 2: 20-23
Je wamjua huyo "mwanamke" "Yezebeli" ni nani?
Amini nakwambia ukijua maana ya maandiko hayo na utabiri huo hakika utashangaa sana tena sana.
 
Tufahamishe wewe unayejua!
Nikianza kukufafanulia hapa hao mods wataufunga huu uzi maana hawapendi mambo ya Dini.
Kwakifupi tu ni kwamba "mwanamke" anayezungumzwa kwenye utabiri huo yaani "Yezebeli" sio mwanamke kama mwanamke bali ni "kanisa".
 
Back
Top Bottom