the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
- Thread starter
- #21
Nakazia mwanaume yeyote anayemwomba mwanamke mchezo huo hajiheshimu,hajitambui,haijui thamani yake kama mwanadamu,vipi akuheshimu ,akutambue na aijue thamani yako wewe kama mwanadamu,bidada? love your self girls and women out there.Mwanaume akupendaye kwa dhati kamwe,narudia tena KAMWE hawezi kukuomba mchezo mchafu kama huo.
100% mwanaume mwenye huba la kweli hawez kula jicho kwa mwanamk wake ila shida inakuja wanawake wengn hawaombwi unaeza shanga fimbo imezamishwa kwenye jicho