Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

100% mwanaume mwenye huba la kweli hawez kula jicho kwa mwanamk wake ila shida inakuja wanawake wengn hawaombwi unaeza shanga fimbo imezamishwa kwenye jicho
kwani inapozamishwa wewe unakuwa umekata moto au? si unaachana na hiyo mechi? halafu ukitoka hapo mnawekana sawa kama yuko serious na wewe akafanyiwe matibabu aachane na huo mchezo muijenge familia,kama hataki unavaa roho ngumu unamwacha kiroho safi kayajenge na wenye mchezo wake ,usiingie kwenye dhambi nzito na tabia chafu kwa jina tu la mapenzi,to hell with it.
 
Kama aliliwa jicho na namuelewa haina noma ndoa inasonga tu,, sidhani kama kuachana nae ndio itakuwa imekufariji..

Jicho kaliwa na ameshaacha michezo iyo mbona hakuna noma maisha yanaendelea
 
Wanawake wanao fanya mapenzi kinyume na maumbile siku zote hawawezi kuwa waaminifu hasa wakipata mwanaume asiyefanya hiyo michezo

True true hawez kurudhika bila kumla nyama
 
Kama aliliwa jicho na namuelewa haina noma ndoa inasonga tu,, sidhani kama kuachana nae ndio itakuwa imekufariji..

Jicho kaliwa na ameshaacha michezo iyo mbona hakuna noma maisha yanaendelea

Mmhhhhhh
 
Wale waigiza ex wangekua na athari kibwena.

Ndugu yangu nikutole mfano mmoja mwanamke anaeza akatoa mimba 5 na asipate madhara ila mwingn moja tu na athari zikatokea kubwa kwake kwahy usipende kusema mbona yule au wao hii kauli si nzur
 
Back
Top Bottom