Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Hapana ila ghetto langu la kwanza ilikuwa ni mitaa ya kilimahewa mbele mbele kama unaelekea Buza [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi na michezo hiyo mbali kabsa mkuu

Aina noma mzee
 
Na alaaniwe mwanaume yeyote anaemfanya mpenzi/mke/girlfriend kinyume na maumbile, mabinti zao, dada zao na mama zao nao wakafanywe kinyume na maumbile kama kisasi, na wote tuseme Amen
Wanaotindua wanaume wenzao wabarikiwe au
 
Ule ujasiri wanautoa wapi sijui??? Na mara baada ya kufanya kitendo hicho unajionaje na kujisikiaje??? [emoji24][emoji24][emoji24]
Maswali ya msingi ni mengi sana hapo
 
Back
Top Bottom