Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Mapenzi yanaoneshwa kwa namna kadha wa kadha ila sio kwenye 0715 wakuu.. Jicho ni eneo tofauti kabsa
 
Well said, lakini wewe unaeumia kuwa demu wako alikua anatoa Kwa mpalange kumbuka na wewe unawafanya hivo wadada usiokuwa na future nao, muosha huoshwa! Ukiwa na tabia za Kula vya watu au wake za watu basi jua na wewe utaliwa Tu ili uone inavouma.
 
Hoja yako ni kuwa mtu anayeharibu Watoto wa kike na kuwaacha bila kuwa na future basi adhabu yake ni kula tigo au Mimi ndo Sijakuelewa?
 
Hiv umesoma vzr wapi nmesema manz angu alikuw analiwa jicho!!!alaf mbon unaongea km unafoka vuta kiti kaa kwa kutulia mzee
 
Hoja yako ni kuwa mtu anayeharibu Watoto wa kike na kuwaacha bila kuwa na future basi adhabu yake ni kula tigo au Mimi ndo Sijakuelewa?
Ok, nachomaanisha ni kwamba, kama unawala tigo wanawake ucokua na future nao na ukaona kawaid Tu bas usiumie ukija kupata background ya mpenz wako au mkeo alifanywa hivo pia na mwanaume mwengn Kwa maana hat ww ulimfanya mwanamke wa mwenzako na wala hukujali
 
Hiv umesoma vzr wapi nmesema manz angu alikuw analiwa jicho!!!alaf mbon unaongea km unafoka vuta kiti kaa kwa kutulia mzee
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]mbona unakua mkali Mzee unaongea Kwa hisia Sana! Sijarhibitisha Hilo Kwa manzi ako, nmeliongelea Kwa upana Tu zaidi
 
Na alaaniwe mwanaume yeyote anaemfanya mpenzi/mke/girlfriend kinyume na maumbile, mabinti zao, dada zao na mama zao nao wakafanywe kinyume na maumbile kama kisasi, na wote tuseme Amen
Hiyo laana kama unaimaanisha usije shangaa ikagusa hadi kizazi chako/ulichopo,kwasababu wanaofanya ndo hawa hawa ndugu na jamaa zetu kwahiyo unaposemea kifanywe/wafanywe vivyo hivyo pia kizazi,dada,mabinti na wengineo ikiwa kama karma,watch ur tongue bro
 
Huyu mchizi nilitaka kumsahihi ila nikadiscard bora umwambie yawezekana ht kuna kaka au ndugu anafanywa au kufanya kwahy na yeye alaaniwe kwa kosa la mtu mwingn!?
 
Hiyo laana kama unaimaanisha usije shangaa ikagusa hadi kizazi chako/ulichopo,kwasababu wanaofanya ndo hawa hawa ndugu na jamaa zetu kwahiyo unaposemea kifanywe/wafanywe vivyo hivyo pia kizazi,dada,mabinti na wengineo ikiwa kama karma,watch ur tongue bro
I am not doung that to my wife and i pray that my kids will not do that
 
Akikupa tigo wewe kula sepa au mfanye ndo punyeto yako ila usimuowe
 
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako

Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao hilo hawalijui

Hakuna kitu kitamuumiza mwanaume kama atambue huyu demu/mwanamke wake/mke alishawahi kutoa kwa mpalange

Na kuna baadhi ya wanawake wengine wanapata ujasiri kabisa ukiwa nao faragha wanakuuliza maswali ya kimtego ili wajue ni mpenzi wa hayo mambo ili wakuachie tundu.

Wanawake wengi wao wanachomoa(wamechomoa)mimba sana hii pia nayo ni changamoto sana kwa hiki kizazi cha sasa

Haya ni mambo ambayo huwa yanaumiza sana sana kwa sisi wanaume endapo yakitokea kujua(background) huwa INAUMA na KUVUNJA MOYO

Utafiti wangu katika wanawake 10 bhas wanawake 4 katika 10 wameshashiriki mapenzi na kinyume na maumbile hii ni mbaya sana kidini na kiafya

KATIKA JAMBO LA KUHITAJI MWANAMKE WA MAISHA INAKUPASA UMLIMLIE MOLA WAKO SANA KAMA MUISLAM SWALI SANA HUKU UKIOMBA HILO NA KAMA MKRISTO BHAS NENDA KANISANI

ONYO KWA WADADA: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo hapo unajidanganya hakuna mwanaume mwenye akili hizo kama yupo bhas jua huyo ni TAHIRA MWENZIO
Unajuaje Kama kapakuliwa nyuma?
 
Back
Top Bottom