cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi jamaa yangu aliniambia hivi
"Sitakuja kurudia kuingia huko, maana ile siku nilipojaribu , ile harufu iliniganda wiki nzima"
[emoji23][emoji23][emoji23]