Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Mshahara wa dhambi ni mauti

Dhambi ni dhambi !

Dunia ya ajabu hii Yani unaona kuna dhambi ni nafuu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwnn mnapenda kuandika habari za kipumbavu namna hii? Yani vijana kutwa kucha mmekazana na hayo mambo ya kinyume na maumbile hata kama story co ya kweli lkn utasema ni kweli ili kutafuta attention, kwnn haya mambo mnayapa nafasi namna hii? Kulikuwa na ulazima gn kutuletea hii story hapa, alafu kuonesha kwamba umetunga eti unatuomba ushauri, unataka ushauri gn wkt uliamua usifanye? Au unataka uambiwe ukafanye? Acheni hizi mambo vijana hazina maana yoyote kuzipa nafasi namna hii, ni ushenzi huu.
Chagua habari ya kusoma Ili usikereke mkuu
 
"khee kheee kheee alo acha ushamba we mwanaume" ndio kauli ya mwisho niliyoambiwa na yule mwanamke.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji1][emoji38]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nakazia mwanaume yeyote anayemwomba mwanamke mchezo huo hajiheshimu,hajitambui,haijui thamani yake kama mwanadamu,vipi akuheshimu ,akutambue na aijue thamani yako wewe kama mwanadamu,bidada? love your self girls and women out there.Mwanaume akupendaye kwa dhati kamwe,narudia tena KAMWE hawezi kukuomba mchezo mchafu kama huo.
Ahsanteee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wa wanaojisifia hapa kama wangepewa wao wangefokoa ni wajinga wachache kati ya walio wengi, ambao wanafurahia kufanya dhambi huku wanacheka! Na wamejisahaulisha kuwa iko siku watakwenda kukutana na Muumba wao! Usithubutu, narudia tena usithubutu kula kinyeo kiwe cha mwanamke au mwanaume!!
Kumbe besti angu unajitambua,Mungu anisaidie mpk ktk umri huu sijawhai na sitarajii naogopaa Sana hyo dhambi no tamaa na ujuha tu wanawake!pese yenyewe mbuzi tu wanayopewa ni upuuzi kwa mwanamke kukubali kuingiliwa nyuma ya maumbile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ee unastahili kudharauliwa na huyo demu sana tu
Binafsi sio addicted wa mlango huo ila demu akitaka mwenyew namla kisamvu vizur tu au ikiingia kwa bahat ni mbele kwa mbele hiyo

Sasa nyie mnapata wa hivyo afu mnalemba ili muonekane wastaarabu waKt hakuna tuzo ya ustaarabu

Ama kweli penye miti hakuna wajenzi,
SUBHAAANAAA llaaahh!!!na jina lako lilivyo zuri plus jina la mzazi wako!
Mola wako akusamehe juu ya Hilo na utambue ufanyie ni Kosa kubwa Sana kufanya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watu wameharibika, niliona vidoe moja.. Mwanamke anasema nataka kunya, jamaa likamuambie ninyee, acha wee.. Dadaa wa watu kaanza shushaaa mavi hayoo pote kitanda kizima mavi ila jamaa lina fanya tu na mavi linaichomoa nyuma linaweke mbele na mavi hivyo hivyo yana kama kei ni bomba la kusafishia machine.. Uchafu uliopitiliza sikuweza kula aisee.. Watu wehu
Astaghfirullah [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji848][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unapata mwanamke wa kufafana nae mkuu. Wanawake tunao kuwa nao tupo nao katika tamaduni moja. Kama mie sio mfiraji na jamii yangu haina wafiraji na mke wangu sio mfirwaji. Na haitakaa akafirwa kama vile uaivyoweza kufanya mambo flani pia
Amiyn amiyn Mungu awalindie kizazi chenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuambii haliwi nyuma mkuu. Na hajawai kuliwa nyuma na haitokaa akaliwa nyuma mzee.. Ebu kuwa muelewa. Unataka kuniambia wanawake wote dunia wanaliwa nyuma au wataliwa nyuma?
Sio kweli Wapo wanaojiheshimu na kuheshimu miiko,wasitake kutuona wanawake wote makahaba wafirwaji tafadhali tupo tunaiheshimu bado Mila na desturi za dini zetu na jamii zetu!
Mimi sipendi hii generalization ya kusema wanawake wote wanafirwa Wapo wanaojiheshimu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watu wameharibikiwa kweli kweli best[emoji22][emoji22]
Mungu atunusuru na vizazi vyetu Bora nionekane mshamba aseehh!Ila sisapoti hyo kitu kwa kweli tena wanaishangilia kabisaa!![emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]daahh!!
Kudhihirisha dhambi ni kibri kikubwa Sana jamani!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mungu atunusuru na vizazi vyetu Bora nionekane mshamba aseehh!Ila sisapoti hyo kitu kwa kweli tena wanaishangilia kabisaa!![emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]daahh!!
Kudhihirisha dhambi ni kibri kikubwa Sana jamani!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuto ku practise anal sex, sio ushamba, bali ujanja na akili timamu. Mtu anae chezea mavi ya mwenzake unafikiri yupo timamu kweli 😳
 
Kuto ku practise anal sex, sio ushamba, bali ujanja na akili timamu. Mtu anae chezea mavi ya mwenzake unafikiri yupo timamu kweli 😳
Kutofautiana mitazamo hakumfanyi MTU kuwa mjanja Wala mjinga, sijui hii dhana watu wanaipata wapi!
 
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.

Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao hilo hawalijui.

Hakuna kitu kitamuumiza mwanaume kama atambue huyu demu/mwanamke wake/mke alishawahi kutoa kwa mpalange.

Na kuna baadhi ya wanawake wengine wanapata ujasiri kabisa ukiwa nao faragha wanakuuliza maswali ya kimtego ili wajue ni mpenzi wa hayo mambo ili wakuachie tundu.

Wanawake wengi wao wanachomoa(wamechomoa)mimba sana hii pia nayo ni changamoto sana kwa hiki kizazi cha sasa.

Haya ni mambo ambayo huwa yanaumiza sana sana kwa sisi wanaume endapo yakitokea kujua(background) huwa INAUMA na KUVUNJA MOYO.

Utafiti wangu katika wanawake 10 bhas wanawake 4 katika 10 wameshashiriki mapenzi na kinyume na maumbile hii ni mbaya sana kidini na kiafya.

KATIKA JAMBO LA KUHITAJI MWANAMKE WA MAISHA INAKUPASA UMLIMLIE MOLA WAKO SANA KAMA MUISLAM SWALI SANA HUKU UKIOMBA HILO NA KAMA MKRISTO BHAS NENDA KANISANI.

ONYO KWA WADADA: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo hapo unajidanganya hakuna mwanaume mwenye akili hizo kama yupo bhas jua huyo ni TAHIRA MWENZIO.


Zaidi soma: Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?
Waambie mkuu wapashe kabisa tena ikibidi hata wale wenye mtandao wa simu za mkononi wape vipande vyao wabadili jina la kampuni kwasababu lina vimelea vya tabia hizo na ndiyo linawapa kiburi wenye tabia hizo...ushahidi ni misemo yao
  1. Jazwa ujazwe
  2. Cha asubuhi
  3. Nasikia wanajiandaa kuleta kingine
 
Back
Top Bottom